Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,327
- 11,026
Familia, hii kitu kuna wakati inanikera. Kiasi kwamba siku hizi nikiona mzani mbele yangu nahisi kama nimeona adui.
Iko hivi, urefu wangu ni 182cm, uzito wangu sasa...58kg.
Aisee, maisha yangu yote sijawahi kuvuka hiyo kilo 58, sanasana kuna wakati nashuka mpaka kilo 56.
Natamani sana kuongezeka uzito, angalau na mimi niwe na hata kilo 60. Nini nifanye kuongeza uzito!?
NOTE: Sina ugonjwa sugu wowote, siumwi mara kwa mara, ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijakanyaga hospitali.