Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,361
- 11,197
- Thread starter
- #61
Situmii kilevi chochote, ila nataka kuanza kutumia DOZI ya bia na kitimoto!Kama unavuta sigara au kilevi chochote basi acha
Inaweza kuwa sababu
Situmii kilevi chochote, ila nataka kuanza kutumia DOZI ya bia na kitimoto!Kama unavuta sigara au kilevi chochote basi acha
Inaweza kuwa sababu
Hapo safi , una akili ya kuelewa mambo kwa haraka janjaSitumii kilevi chochote, ila nataka kuanza kutumia DOZI ya bia na kitimoto!
Kwa kuanzia bia natakiwa kunywa ngapi na kitimoto kiasi gani?Hapo safi , una akili ya kuelewa mambo kwa haraka janja
Bia mbili kila siku jioni na kitimoto nusu na ndizi rost au ugali .Kwa kuanzia bia natakiwa kunywa ngapi na kitimoto kiasi gani?
Mbali na Google sababu HASA ya msingi wewe kuwa na hiyo kilo 60 ni nini. Sababu ya msingi tafadhal
Aaaah, hii ipo ndani ya uwezo wangu kabisa!Bia mbili kila siku jioni na kitimoto nusu na ndizi rost au ugali .
Bia Anza kunywa Kilimanjaro lager
Acha kutomba tomba hovyo.Familia, hii kitu kuna wakati inanikera. Kiasi kwamba siku hizi nikiona mzani mbele yangu nahisi kama nimeona adui.
Iko hivi, urefu wangu ni 182cm, uzito wangu sasa...58kg.
Aisee, maisha yangu yote sijawahi kuvuka hiyo kilo 58, sanasana kuna wakati nashuka mpaka kilo 56.
Natamani sana kuongezeka uzito, angalau na mimi niwe na hata kilo 60. Nini nifanye kuongeza uzito!?
NOTE: Sina ugonjwa sugu wowote, siumwi mara kwa mara, ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijakanyaga hospitali.
Kulingana na urefu wake inatakiwa awe na angalau 75kgWatu wanatafuta kufika 60kg wakati kuna watu wanatafuta kushuka 95kg hadi walau 80kg. Mqisha hayapo fair hata!
Sababu ya msingi ya mimi kuwa na huu uzito siijui.Mbali na Google sababu HASA ya msingi wewe kuwa na hiyo kilo 60 ni nini. Sababu ya msingi tafadhal
Yeah, mentally.Kuna side effects yeyote umeipata kwa hizo kilo ulizo nazo, physically, and mentally
Kama hauna sababu ya msingi just be grateful for what you have.Sababu ya msingi ya mimi kuwa na huu uzito siijui.
Yeah, mentally.
Kilo 58 ni uzito wa mtoto au binti, sio mwanaume mwenye urefu wa karibia futi 6.
For realHujakaa sehemu ukalamba asali Wewe, Hakuna Mtu mwembamba