Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Hakuna uwezekano wa kumpenda mbele kwa mbele sana sana utamtesa tuu kaka wa watu, maana kwa ule upendo alionao kwako utauona ni kero kwasababu humpendi.
Vilevile kwa upande wako utatesa nafsi yako kwasababu upo tuu kwaajili ya pesa na akili ya maisha ya jamaa.

Sasa amua mwenyewe kumuacha ama kuendelea naye ila ukimuacha usitegemee kumpata kama huyo utaishia kushinda kwenye nyumba za ibada ukidhani umelogwa, sio kwamba hutopata hao wenye muonekano mzuri laa asha utawapata sana tuu lakini adha yake utajihisi ni mtu mwenye mkosi.

Je upo tayari kupata HB asiyekuwa na mbele wala nyuma?

Je upo tayari kupata HB mwenye kila kitu ila asiyekuwa na mapenzi kwako na wala asiyejali utu wako?

Je upo tayari kupata HB asiyetaka future na wewe yeye kazi yake ni kugonga na kusepa? Kweli upo tayari?

BTW mwanaume sio sura bimdada mwanaume ni akili na tabia, anatabia nzuri anaakili ya maisha umepata bahati kakupenda unataka nini mamii huyo mwenye sura nzuri zaa wa kwako jamani.
 
Mkubali tu muongezeke Huku mtaani. Usihofu ni kawaida tu, rafiki zako wote walioolewa wana situation hiyo Hiyo. Na wengi WA wanawake walio ktk ndoa wana Hali Hiyo. Mwanamme mfupi kitambi hicho, sura kama yangu ila mpunga Yuko safi. Bora wako and mpunga na tabia nzuri,atabadilika utakapoamua kuendelea na huo mchepuko handsome wako
 
Achana nae subiria wa muonekano mzuriii
Eeh mpunga nyumbani mambo engine Kwa mchepuko Njia Kuu.
Tafsiri, mchepuko njia kuu= ni Yule unayeshirikiana nae kimapenzi na kimahaba zaidi kuliko mwenza wako Rasmi.
 
Hakuna uwezekano wa kumpenda mbele kwa mbele sana sana utamtesa tuu kaka wa watu, maana kwa ule upendo alionao kwako utauona ni kero kwasababu humpendi.
Vilevile kwa upande wako utatesa nafsi yako kwasababu upo tuu kwaajili ya pesa na akili ya maisha ya jamaa.

Sasa amua mwenyewe kumuacha ama kuendelea naye ila ukimuacha usitegemee kumpata kama huyo utaishia kushinda kwenye nyumba za ibada ukidhani umelogwa, sio kwamba hutopata hao wenye muonekano mzuri laa asha utawapata sana tuu lakini adha yake utajihisi ni mtu mwenye mkosi.

Je upo tayari kupata HB asiyekuwa na mbele wala nyuma?

Je upo tayari kupata HB mwenye kila kitu ila asiyekuwa na mapenzi kwako na wala asiyejali utu wako?

Je upo tayari kupata HB asiyetaka future na wewe yeye kazi yake ni kugonga na kusepa? Kweli upo tayari?

BTW mwanaume sio sura bimdada mwanaume ni akili na tabia, anatabia nzuri anaakili ya maisha umepata bahati kakupenda unataka nini mamii huyo mwenye sura nzuri zaa wa kwako jamani.
Mkataa pema pabaya panamuita

Ingekuwa ametafutiwa na mtu au anashinikizwa na ndugu zake ningemwambia usikubali kuolewa lakini katongozwa akakubali kwa sababu mkaka ana pesa basi hana budi kuliendeleza libeneke aolewe laana zingine tunazitafutaga wenyewe

Akijishaua ulomwbia hapo juu atayaona na atalia maisha yake yote
 
Well ,,kama umeshaweka Doubt ,,muache jamaa atafute MTU atakayempenda kwajinsi alivo .

Kinachokupa shida ela unazitaka ,,lkn jamaa hakuvutiii.

Wanawake bana.
Akifanya hivi unavyomshauri atakuwa tofauti na uhalisia. Itakuwa tamthiliya hiyo ya kifilipino. Hakuna mdada WA mjini anayeweza kufanya hivyo.
 
Doooooooh Nenda dada kapate stara yako ukipendwa shikamana ooooohoo.Atakupenda huyo na utasahau hata hao wazuri tena hao ndo wanaume sasa

Mungu hakupi vyote hivyo huyo kapewa mali na upendo kanyimwa vingine nendaaaa tu
Muumbaji ni mmoja
Traditional woman. Very rare kuwapata Hawa.
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Awamu hii unachagua muonekano? Huoni wenzio baada ya kukosa ndoa kwa muda mrefu wamebuni style ya kuvaa pete kwenye pua ili wanuse harufu ya ndoa kwa karibu badala ya kuvaa kwenye vidole kujizibia riziki!
 
Nakwambia akimtosa atamkumbuka daima eti anataka sura nzuri hahahahahah nyie wadada nyie shauri yenu
Mmmmh lkn kwa upande mwingine jamani sura angalau iwe nafuu......me Kuna mtu nishawahi kumuona tena wa humu jamiiforum yaaani daaaah kwakweli hata angekua na mihela hiyooo kuolewa nae ni big noo .....unaweza kucheat hivihvi nyie acheni tu
 
Mwanaume mzuri ni mwenye tabia njema km mtoa mada na mpambanaji katika kutafuta mimi ndo mwanaume mzuri Navyoona
Unataka kuolewa serious unaangalia sura ya mwanaume inavutia???? Kuna wengine anakwambia kabisa eti watoto wangu watakuwaje oooooh shit na hawa wa hivi wengi wao ndo wabaya sema wanafichwa na mapambo

Nimeolewa na mwanaume sura ngumu hasa black tiii lkn tabia ni njema na tumezaa watoto wazuri mno wanawake mkatae mwanaume kwasababu maalumu lkn sio ya uzuri tangu lini mwanaume akasifiwa sura??????
Leo unamwaga mapoint mpaka bhasii[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Eeh mpunga nyumbani mambo engine Kwa mchepuko Njia Kuu.
Tafsiri, mchepuko njia kuu= ni Yule unayeshirikiana nae kimapenzi na kimahaba zaidi kuliko mwenza wako Rasmi.
Anazingua huyuu et muonekano utafkir anakula uo muonekano
 
Mmmmh lkn kwa upande mwingine jamani sura angalau iwe nafuu......me Kuna mtu nishawahi kumuona tena wa humu jamiiforum yaaani daaaah kwakweli hata angekua na mihela hiyooo kuolewa nae ni big noo .....unaweza kucheat hivihvi nyie acheni tu
Wanaume sura mbaya wana hazina kubwa sana mabinti ni ngumu kuiona tunayaona kwa marafiki majirani na mitandaoni watu wanavyolizwa humo ndani mpk kesho nasema hakuna mwanaume mbaya

Ukikua utaikumbuka Hii sms nakumbuka nami niliambiwa hivi na wakati huo nilibisha sana km wewe lkn leo nayashuhudia
 
Nakubali sana tatizo nafsiiii
 
Unaonekana ukienda choon huwa unakunya akili na kuacha mav kichwan
Hujanielewa tuu kaka!! Huyo mtoa mada akili yake ina ujingaa!!! Sasa dawa ya mjingaaa n kumwach na ujing wake!!! Half cku nyngne unapochangia mada jarbu kutumia manen ya kawaida haina haja ya ku2kana
 
Wewe una wivuuu,
 
Back
Top Bottom