Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Yaani nyie wanawake aliyewaroga kaenda na mafuriko mkaka wa watu kajipinda kukupenda anakuhudumia kila kitu ushachezewa wee hadi nyaya zimelegea anakuonea huruma akusitiri ndani ww unawaza muonekano wake..eboo! ..ushasifia hapo ana mali &pesa husemi hazina mvuto?naww waweza kuwa mbovu machoni kwa wengine ila umri ukifika mstari wa Ikweta hata aje jamaa hana meno yote mdomoni utamuita handsome boy na utataka akuoe....ushauri wangu achana na jamaa kaolewe na midori ya nguo ipo imejaa kkoo naonaga km ina muonekano mzuri
 
kubali tu kuolewa tuje kumsaidia jamaa kukugonga
 
Asilimia kubwa watu wanaolewa na watu wasiowategemea na wa naishi vizuri. Na wale waliowapenda / kuwategemea kuolewa / kuwaowa wanabaki kwenye historia.

Kwa maana hiyo basi siyo jambo la ajabu wewe kuolewa na huyo kijana. Olewa alafu utakuja kujicheka siku za usoni. Na kujiuliza hivi kwanini nilitaka kukataa?
 
Hii inawatokea mabinti wengi sana na mwisho wake ni kuchepuka tu maana anafika kwenye ndoa ndio anaanza kumtafuta ampendaye
 
Mali inapatikana shamban dada km vp nenda katafute mali zako ndg.
Achana na bro asake Atakaye mpenda, maana anakujua vema na shida zako ndio maana anataka akusaidie kupitia jinsia yako nawe unaaanza kuleta story hapa.
 
Usikilize moyo wako, unaweza kuolewa kwa kulazimisha ukaishia kuchepuka hata kama mmeo ana mali
 
HAKUNA KITU KAMA HIKO, MWELEZE UKWELI KUWA HUMPENDI, MMEFAHAMIANA MUDA MREFU NA HUJAWAHI KUMPENDA SASA MIUJIZA GANI ITAKUFANYA UMPENDE HUKO MBELE KWA MBELE? NDOA SIYO JAMBO LA KULIJARIBU, HAO WANAKUSHAWISHI WAMEANGALIA UWEZO WAKE WA KIUCHUMI NA SIYO UPENDO

ILA PAPUCHI MPE TU😛😛
True
 
Acha naye, na kama mkaka ameona post yako akaendelea kukufuata fuata basi anunua kidumu cha petrol akajichome mwenyewe!
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Tupia picha yake basi
 
Olewa na unaempenda, upendonndommsing wa ndoa, mengine yanaad value
 
Mhh. Hili ndio tatizo letu baadhi ya wanawake. Ila kabla ya kufanya unayoyataka kuyafanya angalia kwanza umri unaruhusu kuwa na hayo maringo uliyo nayo sababu usije jikuta wakati unafika wa kutaka ndoa na hata wa kukupa habari gani asipatikane.

Pia angalia vile moyo wako unataka.

Na uwache dharau sababu hakuna aliyejiumba.
Ni kweli mtani
 
Back
Top Bottom