Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

ukipata mkweli na ukalizika naye songa mbele maana ni wachache sana.ukijiona mzuri sana utakuja kupata koroma na mwisho wasiku utakuja kutuletea mada hapa za kusema wanaume wote waongo.tatizo la nyie mabinti mkijiona wazuri mnata muwe na wazuri wenzenu jua kuwa mapenzi haya pimwi na muonekano.
Umeongea point nzuri sana chizcom, hawa mabinti huwa wanajiona kama keki ivi..
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Jina (id ) lako lenyewe ni MCHANGANYIKO..., Mix au combination..?!!! hivyo jitose tu hakuna alokamilika..!!
 
WEWE KIGEZO CHA MWANAUME UNAE MTAKA NI MWENYE MVUTO / MUONEKANO ... tabia, mali, heshima. Kwako sio kitu... HUYU ACHANA NAE... TAFUTA MWENYE MVUTO....
 
Yule mzee alikusaidia mkuu????? make saiv umepata na akupendaye
 
Ndoto za mahusiano huwa ni za mwanaume sio mwanamke mwanaume anao uwezo wa kuota mke wa aina gani lkn sio mwanamke Hii tukubali tukatae
Wengi wenu hawajui hilo kapeace, wanadhani watachagua kama mawigi yao [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahahahah tuwaombee tu ila hawasikii watajiju acha wajanja wajikamatie ndoa
Hahahahaa!!! Hawajui hawataki kujiuliza kwanini wanawake walio wengi warembo hawadumu katika ndoa? Kwa hutaka waolewe na wanaume wa wengi yaani wale wanawaitaga ma hb wale Jamaa kiukweli sio waoaji labda kwa shinikizo na kamwe shinikizo haliwezi dumu maana wanapenda kila mtu awaone hasa Mrembo sasa nini kitatokea ikiwa upo nae ndani? Ni kwamba atakuacha na kwenda kucheza Show nje baadae ni kero na kuachana pia na tabia hizo wanazo warembo,,, mjanja chukua kilicho chema na utayari,
 
Je hapo ulipo inamaana huna bwana mwingine uliyekuwa nae kabla yahuyo kujitokeza? Vipi ulishaachana nabwana waawali kabla yakuamua kuolewa nahuyo? Maana tusikushauri uolewe nahuyo kumbe kuna mtu unampenda kuliko huyo ila2 tatizo hana pesa
 
Hapo huna hakika kama huo mwonekano wako unaodhani ni mzuri, utaendelea kuwa nao hadi lini ktk lyf yako
 
Mhh. Hili ndio tatizo letu baadhi ya wanawake. Ila kabla ya kufanya unayoyataka kuyafanya angalia kwanza umri unaruhusu kuwa na hayo maringo uliyo nayo sababu usije jikuta wakati unafika wa kutaka ndoa na hata wa kukupa habari gani asipatikane.

Pia angalia vile moyo wako unataka.

Na uwache dharau sababu hakuna aliyejiumba.
Atakuwa ana 21 huyuu...[emoji23]
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Wacha ujinga sura hailishi mwanamke, Chukua mdhamini huyo ghafla
 
Back
Top Bottom