Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Weka no ya huyo jamaa hapa,wapi miss natafuta chukua mzigo uo
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Nakuonea huruma sana, ngoja umri ukifika jioni utakuja kusaga meno hapa jukwaani!!

BTW mwanaume hasifiwi sura, mwanaume sio mwanamke ili asifiwe sura!!
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Sasa hujavutiwa naye unataka nini uje utulilie baadaye chukua uamizi sasa
 
Mwanamke anaependa sana pesa na mali kama wewe ni wakuogopwa pia. Ninachokiona ni kwamba moyo wako unaongea vingine na akili yako inasema vingine. Acha tamaa.
 
Suraaaa ndio shida kwako si ndio??ww ni mzuri sana ndivyo unavyo danganywa??hata wanaume wote dunia nzima wangekwambia ww mzur jua bado una kasoro saaana tu.

~Shika sana ukicho nacho,asije mwovu akaitwaa hiyo taji yako.na ujiangalie ww ujidhanie kuwa umesimama usianguke.
 
hakunaga kumpenda mtu mbele kwa mbele na yeye awe mjanja akuzalishe watoto 5 kwa mpigo ili akukolee usipate mwanya wa kumkimbia utakapojisikia hakuingii wala kukuvutia
 
Makungwi Katika Ubora Wenu Mkataa Pema pabaya Panamwita.
 
Kama hajakuvutia kimapenzi usikubali kuolewa nae.Ni muhimu mwenza wa maisha akuvutie japo kiasi.mwenza anayekuvutia ni rahisi sana kuchukuliana nae ktk madhaifu yake.hata siku akiumwa automatically utajikuta unaweza mbembeleza ala chakula na kumlisha.

Tabia njema peke yake haitoshi dada utajuta.
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Ukiweka tangazo la tunauza ice cream hapa ndipo utakapojua kuwa kuolewa bahat na huwa inatokeaga tu
 
Back
Top Bottom