Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Mtafute mwenye muonekano mzuri mtongoze alafu umuoe. Tatizo wenye muonekano mzuri hawana hela wala mali pia sio waoaji cha mwisho na chamsingi hawavutiwi na wako ndio maana hawajakutongoza
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Hebu google na uangalie video hii kisha rudi hapa use me umeamyaje. "Kyazanga wedding"
 
Msubiri handsome atakuja. Wakati bado[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom