Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Umeonaeee. Kuongea na kuwaza kijujuu inakuwaga rahisi sana mtani ila ukiingia kwa undani vipo vitu sio hata vya kuvifanyia masihara sababu vingine sio vya kujirudia rudia huwa vinakuja mara moja kwa miaka au vinaweza jirudia rudia ila vikawa vimetawaliwa na usanii wa hali ya juu.

Sasa huyu mtoa uzi kawaza kijuu juu ndio sababu kaona ni rahisi kabisa kuandika alichoandika.
Sure hii ndio mana Zaman hata wazee wetu waoaji walikua wanaonyeshwa tu nyumba za kuoa pasi na kujuana muoaji na muolewaji walichokua wanaangalia ni tabia njema tu masuala ya kupendana huja baada ya kuoana
 
Doooooooh Nenda dada kapate stara yako ukipendwa shikamana ooooohoo.Atakupenda huyo na utasahau hata hao wazuri tena hao ndo wanaume sasa

Mungu hakupi vyote hivyo huyo kapewa mali na upendo kanyimwa vingine nendaaaa tu
Muumbaji ni mmoja
Bacyclerbacy hivi umeolewa..?
Kama bado Tafadhali naomba nikuoe?
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
human behavour is learned" utakuja kumpenda tu amin usiamin
ila kama unamashaka usijaribu mana kimbuka utakuja kuish naye miaka 200
jaribu kuwarembulia wale mahandsome unaowapenda ili wakutongoze wakuoe ili usijekua mtumwa wa maamuz yako
 
Unaweza kukuta na mwenyewe hauvutii ila mbwembwe tu
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Yale yalee,msome monicca na chizi Maarifa utapata ushauri
 
Mhh. Hili ndio tatizo letu baadhi ya wanawake. Ila kabla ya kufanya unayoyataka kuyafanya angalia kwanza umri unaruhusu kuwa na hayo maringo uliyo nayo sababu usije jikuta wakati unafika wa kutaka ndoa na hata wa kukupa habari gani asipatikane.

Pia angalia vile moyo wako unataka.

Na uwache dharau sababu hakuna aliyejiumba.
Hajui kuna vibinti hivi tumezaa zaa navyo vinaingia kwenye ligi chuchu sa tano, ukikagusa kanatelezesha
 
Ila na sisi wanawake tuna visa ujue. Yaani vile vyote vya msingi anavipata eti sura tu. Mmh. Kamuacha hoi emmy aiseee.

Vp lakini uko poa my dear?
Kwanza mwanaume sura nzuri ya kazi gani,?[emoji1]Niko poa mpenzi,weekend ndio hii sijui uko pande zipi!?
 
Njoo nikuoe...MIMI NINA SURA NZURI,NAVUTIA ILA SINA HELA
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Achana naye subiri mwenye muonekano unaoutaka ww .
Waschana wengne bhana .. Hivi unafikir we hapo ulipo unavutia kwa kila kitu.. Endelea kuchagua ukutane na wazee Wa hit and run ndio akili itakukaa sawa kahaba ww
 
Uwezekano mkubwa wa kumpenda upo sana ukiwa karibu na mtu lazima utamzoee na kumpenda kikubwa angalia vile moyo wako unapenda usije ukaenda kumsumbua mkaka wa watu bure
Jibu zuri sana! Natabasam kingereza[emoji4][emoji4]
 
Asijekuwa Dkt. Shika alafu unatusumbua bure[emoji51][emoji51]
 
Ngoja nipite zangu maana vitu vingine kujibu ni sawa na kuokota cheti feki na uende kwa mwenye nchi kuomba kazi.
 
Back
Top Bottom