Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,118
- 71,375
Nakwambia akimtosa atamkumbuka daima eti anataka sura nzuri hahahahahah nyie wadada nyie shauri yenuHahahaa ,, sasa afanyeje ,, huyu akiolewa najamaa nirahisi kuchuma weeee alafu atamkimbia huwezi amin ,,huyu nirahisi sana ,kupiga pini kizazi asizae kwanza uku akivutia upepo wamaisha kwakuchuma.
Kwaufupi uyu niwale tunaosema ,,ktk mahusiano yandoa ,,wao kwanza wanaangalia upande Wa Sex ,nasio kutengeneza pesa nafuraha .
Upendo upo ,,jamaa anataka akaoe ,, pesa IPO ,,, alafu analeta mbwembwe.
Mimi naona huyu amekuja kuwalingishia wenzake tuuuu tujue kapata bwana anahela.