Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

Money fall on you
Banana fall on you
Prada fall on you oh
Cause I'm in love with you oh eh
Money fall on you
Banana fall on you
Paparazzi follow you oh
Cause I'm in love with you oh eh
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Sikiliza moyo wako unachokuambia. Usilazimishe maji kupanda mlima maji hufuata mteremko.
 
Girl let me love you
And I will love you
Until you learn to love yourself
Girl let me love you
I know your trouble
Don't be afraid, girl let me help
Girl let me love you
And I will love you
Until you learn to love yourself
Girl let me love you
A heart of numbness gets brought to life
I'll take you there
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?

Jifunze kumpend, ukishindwa mwache ndugu wa watu aende zake na maisha yake
 
Dah!! Natamani huyo jamaa auone huu upupu wako ili achukue 50 zake mapema.

Maana wewe unachompendea jamaa ni hela tu hakuna kingine!!!
 
Habari zenu wapendwa,

Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea anatabia nzuri ila kama mnavyojua Mungu ametuumba tofauti kila mtu na sura yake na kila mtu macho yake anavyoona hivyo kwenye swala la muonekano kiukweli hajanivutia kabisa yaani daah.

Ila tabia ni njema sana sasa nawaza nikimkubali anioe hivi inawezekana kweli kuja kumpenda huyu mtu baadae nikiwa kwenye ndoa maana wengine wananiambia nitampenda mbele kwa mbele uwezekano huu upo kweli?
Ndo wale mnaorudigi kwa maex mkifunga ndoa.
 
Itapendeza zaidi ukisubiri ufikishe umri mkubwa kidogo(30 na kuendelea) utapata jibu la swali lako.
 
Ringa udondokee usingle mama, ndoa ni fursa itumie hayo ni mawazo ya kitoto na kizamani. ukibebwa kunja miguu hiyo nafasi wenzio wanaendea kwa mganga ili waipate, hiyo ni bahati tu jiulize una kitu gani ambacho wenzio hawana. una vingapi,kina nini ndani, huendi likizo, jitathmini. NDOA NI IBADA.
 
Mtambulishe kwa rafiki yako wa kike ila siku ya ndoa yao usije ukalia hadi kutoa kamasi huku ukisema it could have been be me
 
Japo ndoa na maisha ya wakuishi na mke/mume ni hiari zetu ila mungu anayo nafasi kubwa sana kumpatia mtu hitaji Lake la moyo je unajua kuwa ushafikia umri wa kuolewa /kuoa? Nakama umefikia ulichukua hatua gani baada ya kujitambua upo sahihi kuoa/kuolewa? Kuna mambo magumu katika mahusiano, kina Dada wengi hawana malengo rasimi katika kuhitaji kuolewa wengi wao huolewa kwa kushawishiwa wengi kauli zao ni zakukatisha tamaa hasa kwa mwenye lengo la dhati, ikiwa umefikia umri wa kuolewa na ukajitambua kuwa kweli wakat umefika je umetadhimini unataka kuolewa na nani mtu wa namna gani je wewe upo kwenye hali Gani? Umemshirikisha m/mungu juu ya hitaji lako la kuolewa ukamweleza mapebdekezo yako ya unaetaka ajitokeze kwako? Angalia usije wahi ukachelewa au usije ingia kwenye shimo ukashindwa kutoka kaa tafakari hali kila mtu anayo kulingana na kundra za Allah, unaweza fuata mali ukakosa mapenzi, unaweza fuata mapenzi ukakosa mali, unaweza fuata mali ukakuta mapenzi japo kwa udogo na unaweza fuata mapenzi ukakuta mali yote yawezekana na unaweza ukaenda ukakosa vyote pia hivyo jipime kama mda tayari acha maisha ya kufikiria kaa chini muombe m/mungu kile unapenda kifike kwako naamini mungu sio mchoyo kama wanadamu wallah inshaallah utakipata na kufurahia kumbuka wanakuja wengi na wote wameficha uhalisia maana kuna wanachotaka kwako siku yakugundua utakuwa umechelewa rafiki angalia na sio kwa macho zaidi angalia kwa jicho la mungu zaidi utaona yaliyo ndani zaidi na utaamua kwenda au kurudi, kumbuka heri ukosee kuvaa utavua uvae tena, lakini usikosee kumchagua wa maisha ni majuto mpaka siku Mtu anazikwa bado kidonda kipo, na kamwe kama kweli unajua unachowaza kamwe kwa mtoa Mada jibu sahihi huwezi lipata kwa wanafamilia wa Jf zaidi jibu unalo wewe mwenyewe kwa kuupima moyo wako kwa mhusika.
 
Back
Top Bottom