Sijashawishika na majibu ya Rais Samia kwamba apewe muda ili aisimamishe uchumi halafu ndiyo aruhusu mikutano ya kisiasa

Mtu mwenye roho iliyojikaataa hawezi shawishika hata angepewa nini, kosa ni la wanaume kuwakataa watoto wakiwa tumboni,watoto wa namna hii ndiyo huhisi kukataliwa kila wakati, maisha yao ni ya hofu na mashaka. Watu kama nyinyi hata mama angefanya nini mnahisi kuonewa tu.
 
Mimi nadhani hiyo ya kusimamisha kwanza uchumi ali-base kuhusu Katiba mpya..na kutaka utulivu coz kuna vuguvugu linakuja la kudai katiba mpya..

Hiyo mikutano ya kisiasa sio big deal..hata kina Mbowe wiki mbili zilizopita walikuwa mikoani huko wanazunguka tu..kipindi cha jiwe hilo lisingewezekana.
Miki nipo huku muitako mikoani sikupata fursa ya kuwasikiliza. Wanafanyia ndani,nasi tuliowengi si wanachama. So hatupati fursa. Ccm wao hukutana wazi kwenye viwanja walivyojimilikisha. Huwa siwaewi kabisa. So twahitaji mikutano ya wazi ileeee.
 
Back
Top Bottom