Sijaona waziri anaeshirikiana na jamii kwa moyo wa kujitolea bila makamera kumzidi Dkt Dorothy Gwajima, Her Responsibility exceeds her power

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k.

Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara nyingi ripoti hizi huwa zimepunguzwa au kuhaririwa kwa nia ya kulinda maslahi ya viongozi hao wa chini, kundi kubwa zaidi hata hawafuatilii wala kujishughulisha (wavivu) wanasubiri mishahara wanatunga chochote, hivyo kuficha hali halisi ya matatizo yanayowakumba wananchi.

Katika mazingira haya, napenda kukiri kuwa Dkt. Dorothy Gwajima ni miongoni mwa viongozi wachache wanaojitahidi kuwasiliana moja kwa moja na wananchi ili kuelewa changamoto zao kwa undani. Anaonekana kuwa na dhamira ya dhati ya kufuatilia matatizo ya kijamii kutoka kwenye vyanzo vya moja kwa moja. Silaha yake kubwa imekuwa matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii, jambo ambalo linadhihirisha kuwa anaendana na wakati na ana nia ya kweli ya kusikiliza wananchi.

Kwa mfano, katika jukwaa la JamiiForums, mara kadhaa nimeona Dkt. Gwajima akianzisha mijadala, akichangia, na kureply maoni mengi ya wananchi. Hili si jambo rahisi kwa kiongozi wa ngazi yake, lakini linaonyesha jinsi anavyothamini maoni ya watu wa kawaida. Pia katika mitandao mingine kama Facebook, anaendelea kuwa na uwepo wa dhati, si tu kwa kutoa taarifa, bali pia kwa kujibu maswali na kutoa mrejesho wa moja kwa moja kwa wananchi.

Uwajibikaji wake unazidi mamlaka aliyopewa, jambo linalomtofautisha sana na viongozi wengi ambao wanajulikana zaidi kwa vyeo vyao kuliko kwa kazi wanazozifanya. Dkt. Gwajima ameonyesha kuwa cheo si pambo, bali ni nafasi ya kuwatumikia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji na moyo wa dhati.

Dkt. Dorothy Gwajima ni mmoja wa mawaziri wachache ambao uongozi wao unaonekana wazi hata nje ya mitandao ya kijamii. Anajitambulisha kwa unyenyekevu wa kweli na urahisi wa kuwafikia wananchi bila kutegemea kamera, mapambo ya heshima, au mazingira ya kisiasa yaliyoandaliwa kwa makusudi.

si jambo geni kuwaona viongozi wakijitokeza kushiriki shughuli za kijamii, kutoa msaada, au kuonyesha unyenyekevu mbele ya umma. Hata hivyo, mara nyingi hatua hizi huwa zimepangwa kwa makusudi, zikiendeshwa kwa lengo la publicity (kuripotiwa kwenye vyombo vya habari), kujipost kwenye kurasa za mitandao, kufeki waonekane wanatimiza majukumu, kupandishwa vyeo, n.k. lakini Body Language (lugha ya mwili) huwa vinawasaliti.

Kwa mtu ambaye hamfahamu sura yake wala cheo chake, anaweza kumkuta katika shughuli zake na kudhani ni afisa wa chini aliye makini kazini, kumbe tayari ni Waziri wa Serikali, hana kiu ya kuthibitisha kuwa yeye ni mwenye mamlaka.
 
Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara nyingi ripoti hizi huwa zimepunguzwa au kuhaririwa kwa nia ya kulinda maslahi ya viongozi hao wa chini, hivyo kuficha hali halisi ya matatizo yanayowakumba wananchi.

Katika mazingira haya, napenda kukiri kuwa Dkt. Dorothy Gwajima ni miongoni mwa viongozi wachache wanaojitahidi kuwasiliana moja kwa moja na wananchi ili kuelewa changamoto zao kwa undani. Anaonekana kuwa na dhamira ya dhati ya kufuatilia matatizo ya kijamii kutoka kwenye vyanzo vya moja kwa moja. Silaha yake kubwa imekuwa matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii, jambo ambalo linadhihirisha kuwa anaendana na wakati na ana nia ya kweli ya kusikiliza wananchi.

Kwa mfano, katika jukwaa la JamiiForums, mara kadhaa nimeona Dkt. Gwajima akianzisha mijadala, akichangia, na kureply maoni mengi ya wananchi. Hili si jambo rahisi kwa kiongozi wa ngazi yake, lakini linaonyesha jinsi anavyothamini maoni ya watu wa kawaida. Pia katika mitandao mingine kama Facebook, anaendelea kuwa na uwepo wa dhati, si tu kwa kutoa taarifa, bali pia kwa kujibu maswali na kutoa mrejesho wa moja kwa moja kwa wananchi.

Uwajibikaji wake unazidi mamlaka aliyopewa, jambo linalomtofautisha sana na viongozi wengi ambao wanajulikana zaidi kwa vyeo vyao kuliko kwa kazi wanazozifanya. Dkt. Gwajima ameonyesha kuwa cheo si pambo, bali ni nafasi ya kuwatumikia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji na moyo wa dhati.
Mhe wazir pokea pongezi zako, kazi yako inaonekana Dkt. Gwajima D
 
Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara nyingi ripoti hizi huwa zimepunguzwa au kuhaririwa kwa nia ya kulinda maslahi ya viongozi hao wa chini, kundi kubwa zaidi hata hawafuatilii wala kujishughulisha (wavivu) wanasubiri mishahara wanatunga chochote, hivyo kuficha hali halisi ya matatizo yanayowakumba wananchi.

Katika mazingira haya, napenda kukiri kuwa Dkt. Dorothy Gwajima ni miongoni mwa viongozi wachache wanaojitahidi kuwasiliana moja kwa moja na wananchi ili kuelewa changamoto zao kwa undani. Anaonekana kuwa na dhamira ya dhati ya kufuatilia matatizo ya kijamii kutoka kwenye vyanzo vya moja kwa moja. Silaha yake kubwa imekuwa matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii, jambo ambalo linadhihirisha kuwa anaendana na wakati na ana nia ya kweli ya kusikiliza wananchi.

Kwa mfano, katika jukwaa la JamiiForums, mara kadhaa nimeona Dkt. Gwajima akianzisha mijadala, akichangia, na kureply maoni mengi ya wananchi. Hili si jambo rahisi kwa kiongozi wa ngazi yake, lakini linaonyesha jinsi anavyothamini maoni ya watu wa kawaida. Pia katika mitandao mingine kama Facebook, anaendelea kuwa na uwepo wa dhati, si tu kwa kutoa taarifa, bali pia kwa kujibu maswali na kutoa mrejesho wa moja kwa moja kwa wananchi.

Uwajibikaji wake unazidi mamlaka aliyopewa, jambo linalomtofautisha sana na viongozi wengi ambao wanajulikana zaidi kwa vyeo vyao kuliko kwa kazi wanazozifanya. Dkt. Gwajima ameonyesha kuwa cheo si pambo, bali ni nafasi ya kuwatumikia wananchi kwa uwazi, uwajibikaji na moyo wa dhati.
kabisa nakubali ila naichukia ccm
 
Andika na namba , atuke na ya kutolea?
 
Naunga mkono, anajitahidi.
Ila anijibu swali moja tu, ule mchakato wakumpitisha mama samia kama mgombea wa CCM, kwake ni halali ama batili?

Dkt. Gwajima D
Hakuna anapojitahidi, ni muoga sana. Wanawake wa chadema na waandishi wa habari walipigwa pale mahakamani siku ya kesi ya lissu, akaombwa achukue hatua, akatumiwa na videos, lakini alikaa kimya hata kuzungumzia tu aliogopa

Anachagua matukio
 
Back
Top Bottom