City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,097
- 12,013
Mjadala wangu na unachojibu ni vitu tofautiBosi ingekuwa hivyo basi kiongozi kama Dkt Magufuli tusingempata na kutufungua macho nchi yetu tajiri. Lazima uwe mjaja kama Dkt Magufuli
Mjadala wangu na unachojibu ni vitu tofautiBosi ingekuwa hivyo basi kiongozi kama Dkt Magufuli tusingempata na kutufungua macho nchi yetu tajiri. Lazima uwe mjaja kama Dkt Magufuli
Allahu Akbar,la ilayhi ila Allah muhamadur resul allahSubhanallah!! Mswalie mtume sheikh!
HahahaaSasa kumsifia kwenu kusije kukawa ni kwazo kwa mwanamke mwenzake. Kumbukeni mwanamke mwenzake anapenda kusifiwa yeye pekee
Jerry Silaa alivyo binywa kiainaCCM hawapendi mawaziri wa namna hiyo
Kabisa mkuu, akionekana ana shine kuliko boss wake anaweza akatupwa ubalozini au akawekwa sehemu ambayo atasahaulika. Sasa hivi awe mpole kwanza yasije yakamkuta yasiyotarajiwa.Hahahaa
Na utawala wake huyo mama yeye amejiweka mbaali na wananchi hasa wanyonge...aliwahi kusema kero za wananchi tuwape wabunge then zitamfikia yeye!
Hakika ni mtume wa Allah!Allahu Akbar,la ilayhi ila Allah muhamadur resul allah
Akikujibu nitag 😹Naunga mkono, anajitahidi.
Ila anijibu swali moja tu, ule mchakato wakumpitisha mama samia kama mgombea wa CCM, kwake ni halali ama batili?
Dkt. Gwajima D
Huo ni ushahidi wa wazi kabisaJerry Silaa alivyo binywa kiaina
Yeye haogopi unafikiri? 😹Hakuna anapojitahidi, ni muoga sana. Wanawake wa chadema na waandishi wa habari walipigwa pale mahakamani siku ya kesi ya lissu, akaombwa achukue hatua, akatumiwa na videos, lakini alikaa kimya hata kuzungumzia tu aliogopa
Anachagua matukio
Tunaongelea kiongozi ambaye anaweza kuishi na mfumo ili baadaye aje atumike kuwatumikia watanzania. Hata Mandela angekuwa mwanaharakati kule gerezani asingeweza kuja kuwa raisMjadala wangu na unachojibu ni vitu tofauti
nakuelewa sana! Ingawa si kweli ulivyohitimishaSasa kumsifia kwenu kusije kukawa ni kwazo
Hata yeye anarcho pia anawategemezi. Ni waziri mwenye mipaka, angefanyanini?wote