Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,226
- 4,730
Komredi Kada mwenzangu, si tulisema alipiga Bapa kubwa akalewa, akaanguka, akavunjika mguu, na kalala kwake?Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Tumuache auguze jeraha...naendelea hayana chama bwasheee