Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,594
- 123,100
Haujaulizwa kama ulikuwepo au uko wapi kwa sasa, acha kila mtu aamini anachopenda na KAMWE usiyaongelee ya watu usiyoyajua
Nilikuwepo huko nikawapotezea muda tu. Hayo mambo ya kuamini bila kuhoji sinaga akili hizo. Niko nje ya box muda tu, ww endelea kupiga magoti mbele ya sanamu.
. Umekimbia RCumeenda kumuabudu mwenyekiti wa maisha.