Mambugila ya mataga ni hopeless , jitu linaenda msibani kuangalia waliohudhuria badala ya kushiriki maombolezo.Bora usiengeenda hapo ibadani umefanya kazi ya hasara..
Wenzako ibada inaendelea ww unaingia jf
Mambugila ya mataga ni hopeless , jitu linaenda msibani kuangalia waliohudhuria badala ya kushiriki maombolezo.Bora usiengeenda hapo ibadani umefanya kazi ya hasara..
Wenzako ibada inaendelea ww unaingia jf
Wamekaa back benchesMbona Kikwete, Mwinyi na Shein hawapo mkuu? Au hawapendi kusikia "Tumsifu Yesu Kristu"
Rc haiendeshwi kwa upepo wa mabadiliko ya kidunia.Hiyo ibada yenyewe ya RC Ni ndefu, na hizo nyimbo zao zisizobadlikaga miaka na miaka.
Tunawasikitikia kwa upumbavu na ulofa wao, tungependa sana warudi kundiniHiyo ndio sababu vijana wengi wa kizazi hiki hawaendi huko kanisani hasa RC, bali wanaishia kwenye makanisa ya kiroho na matapeli wengine kama kina Gwajima. Kijana gani ataenda kwenye nyimbo zinaimbwa kwa uzito na vikolombwezo kama chekecheke aishie kusinzia? Ndio maana mleta uzi kaona bora aendelee na jf maana ataishia kulala.
Alihama Kkkt Azania FrontAcha uongo mama Anna ni mkatoliki tunasali nae hapa osterbay kila j'pili
Mama Anna ni mlutherani acha kiherehere kwa jambo usilo lijua,na unatakiwa ujue alikataa kubadili diniAcha uongo mama Anna ni mkatoliki tunasali nae hapa osterbay kila j'pili
Hiyo ndio sababu vijana wengi wa kizazi hiki hawaendi huko kanisani hasa RC, bali wanaishia kwenye makanisa ya kiroho na matapeli wengine kama kina Gwajima. Kijana gani ataenda kwenye nyimbo zinaimbwa kwa uzito na vikolombwezo kama chekecheke aishie kusinzia? Ndio maana mleta uzi kaona bora aendelee na jf maana ataishia kulala.
Hawajambo hapo BAKITA?Kwani alishapona mguu?[emoji3514]
Kwani alishapona mguu wake? [emoji777]
Its obvious hawezi akapona mguu ambao sio wakwake
Aisee kumbe hukwenda kusali,ulienda kufanya sensaLabda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.
Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
HakualikwaKwani kwenye mkutano wa CCM kule Dodoma alialikwa?
Kama ulimwona Mbatia na mzee Mgaya basi mimi nilikuwa mstari wa tatu nyuma yao!We mwenyewe haupo hapo
Ova
Mbona wewe ni mke wa mtu lakini wajeda wanakugonga!Mleta mada Mbowe ni mume wa mtu na ana watoto wa kubwa,nakushauri endelea kudanga huenda ukawa mkwe wake.
Hahahaaaa........!Mambugila ya mataga ni hopeless , jitu linaenda msibani kuangalia waliohudhuria badala ya kushiriki maombolezo.
Hao bavicha ni wazushi tu!Mama Anna ni mlutherani acha kiherehere kwa jambo usilo lijua,na unatakiwa ujue alikataa kubadili dini
Mbona wewe ni mke wa mtu lakini wajeda wanakugonga!
Ndio, yule wa tatu!Mke wa baba yako au?
Tunawasikitikia kwa upumbavu na ulofa wao, tungependa sana warudi kundini
Nani aliyekwambia misale ya waumini ni Biblia, mambo kama huyajui uwe unauliza kuliko kujitia mjuaji wa kila kitu kama bashite.Warudi kuabudu sanamu, na ile biblia iliyochakachuliwa iitwayo misale ya waumini?