Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Komredi Kada mwenzangu, si tulisema alipiga Bapa kubwa akalewa, akaanguka, akavunjika mguu, na kalala kwake?

Tumuache auguze jeraha...naendelea hayana chama bwasheee
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo hayana vyama lakini unatafuta uwepo wa chadema msibani.

Wewe mbona sijakuona? Riz1 umemuona ? Miraji Kikwete? Sirro umemuona? RC wa Mbeya? DC wa iringa? Unaweza usiwaone lakini wapo msibani maana hawajaja hapo ili waonekane.
 
Mbatia nimemuona yuko safu moja na mzee Mgaya!
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani alishapona mguu wake?
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani mzee Mgaya anasemaje?
 
Dini ni utamaduni, utamaduni huwa haubadiliki ikiwemo na nyimbo

Hiyo ndio sababu vijana wengi wa kizazi hiki hawaendi huko kanisani hasa RC, bali wanaishia kwenye makanisa ya kiroho na matapeli wengine kama kina Gwajima. Kijana gani ataenda kwenye nyimbo zinaimbwa kwa uzito na vikolombwezo kama chekecheke aishie kusinzia? Ndio maana mleta uzi kaona bora aendelee na jf maana ataishia kulala.
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Anasimamia mafundi wanafanya usafi nyumba anayoshukia lissu
 
Back
Top Bottom