Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

Kwahiyo dini yako huwa inapiga nyimbo Kama TWANGA PEPETA ili msilale mnakata MAUNO TU?

Nilishaachana na hayo mambo ya dini muda mrefu. Siku hizi na deal na Mungu direct, sina muda wa kusubiri madalali wa kunipeleka mbinguni. Hizo dini zinazopiga ndombolo ya Yesu, ndio zenye mvuto kwa kizazi hiki.
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi Yohana, wewe unafikiri mtu mwenye umri wa Mbowe akivunjika mguu inachukua muda mfupi tu wakupona kabisa hata aweze kuwa "fit" 100% na kuanza kutembea kikamilifu?
 
Juzi alikuwa jimboni kwake Hai akifanya kampeni!
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Umekwebda kuangalia watu au kuaga??
 
Kitu kama haujui ACHA KUROPOKA, eti Misale ya waumini ni Biblia iliyochakachuliwa, haujui kitu KAA KIMYA

Sio kuwa niko kimya tu, bali hata huko kwenye dini nilikimbia muda mrefu sana. Mimi sio muumini wa sanamu, naongea na Mungu direct, na sipitii kwa viongozi wa dini wanaosema nisiangalie matendo yao bali neno. Kama wanaamini hilo neno, kwanini hawatendi kwa mujibu wa neno? Shuubamiit.
 
Haujaulizwa kama ulikuwepo au uko wapi kwa sasa, acha kila mtu aamini anachopenda na KAMWE usiyaongelee ya watu usiyoyajua
 
Hivi Yohana, wewe unafikiri mtu mwenye umri wa Mbowe akivunjika mguu inachukua muda mfupi tu wakupona kabisa hata aweze kuwa "fit" 100% na kuanza kutembea kikamilifu?
Hivi Mbowe alipigwa kweli kipigo au alidondoka Kama Job ndugai alivyosema ?
 
Hata kama alionekana jimboni kwake, sidhani kama yupo fiti kwa kiwango kikubwa ili aweze kushiriki kikamilifu ktk tukio kubwa kama hili lenye kuhitaji taratibu nyingi za kiifaki ziendanazo na maombolezo ya kitaifa ya Mzee wetu aliyekwisha kutangulia mbele za haki.
 
Maombolezo ya kuaga mwili was mzee Wetu Uwanja was Uhuru yatafanyika kwa siku tatu. Waneweka makusudi ili atakayeshindwabkwenda siku ya kwanza Basi aende siku ya pili au ya tatu

Kwahiyo kumjaji Mbowe kutokuhudhuria Ni uchonganishi wenye hisia za kiitikadi ya vyama. Tutamjadili baada ya jumanne lkn Leo mapema sana
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Simon Sirro sijamuona...Bashir na Polepole sijamuona...Msekwa sijamuona siku bado mbili wew wasiwasi Uko wapi ?
 
Back
Top Bottom