Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.
Slaa ni mfanyakazi wa Chadema....na matumizi ya ruzuki ni kwa ajili ya kuendesha shughuli za chama, sasa mfanyakazi akikopa mshahara wake kuna tatizo gani? acheni ujinga...watz wanataka kujua mantimiza vipi ahadi zenu za kujenga reli mpya ya kati, ya kununua meli mpya ziwa victori,tanganyika na nyasa, ya kujenga machinga complex mbili katika wailaya za Nyamagana,Ilemela,Temeke, Kinondoni na Ilala...sio majungu.
Kaka hii Avar yako imeifanya siku yangu kua njema!Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;
na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?
Nikiwa kama mwanachama wa chadema nimesikitishwa na suala hili.. Mikoa inakosa ruzuku
ufafanuzi
cc Tumaini Makene, Molemo
Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?
CC Tendwa,Utoh
Ulivyo orodhesha hapo vyote tunakili ni ufisadi lakini alicho tenda padri nachao ni kitendo cha kifisadi, haiwezekani watu kilasiku wanazunguka na kapu arafu yy ana chamba2 kiwepesi
kwani wewe kama ulikuwa police na ukauacha huo upolice au ukafukuzwa na ukajiunga na wizi utaendelea kuitwa police? Dr. si padri tena ni mwanasiasa kwa sasa.Padri mwenye watoto.Utamwamini kweli!huyu kiumbe,hafai hata kuishi
Mimi ni dume la mbegu lililokubuhu!dada umeenda mbali sana kuniita mie kilaza... Samahani sikujua kama dr slaa kaajiriwa cdm; nilijua ni mwanachama wa kawaida tu kama mie. Asante kwa ufafanuzi mungu akubariki
Hivi kumbe siku hizi kukopa ni kosa?au ni kwa Slaa tu?Poa ngoja tumtafutie bunduki akafagie tembo kama msomali wa maccm maana ndo ya kuaminika
nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa chadema daktari slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
itahwa,
..bora ameamua kukopa. inaonyesha ni muadilifu.
..huyu angejisalimisha CCM angelipwa mabilioni.