Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,742
- 5,824
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.
Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale, mara nyingi tukichat na ku-interact baada ya miezi 4, mdada anaishia kunipotezea, au kufuta namba yangu, ilhali sijamkwaza, hajanikwaza, na hatujawahi gombana, na wala kipindi chote hicho sijawahi mtongoza hata chembe.
Mlio na marafiki wa kike, urafiki wenu ukakuwa hadi mkawa kama dada na kaka/ndugu, hao marafiki mnawapataje?