Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

Okay katika huo ukimya wako.....I guess kuna namna you are not treating well hao marafiki zako wa kike.

Nnavojua mie expections za wadada, we ni rafiki we chat nakueleza yangu unaniambia yako, nikiishiwa bando i expect sometimes unirecharge, hapa na pale nmekwama uniboost, hivyo yani unafanyaga??

Kama unafanya hayo na wanakimbia achana nao punda hao njoo uwe rafiki angu mwaya.
Kuna wimbo hapa nakusikiliza Kuna mstari unasema karibu segedance karibu segerea......

🤣🤣😂😂🤣
 
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.

Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya hapa na pale, mara nyingi tukichat na ku-interact baada ya miezi 4, mdada anaishia kunipotezea, au kufuta namba yangu, ilhali sijamkwaza, hajanikwaza, na hatujawahi gombana, na wala kipindi chote hicho sijawahi mtongoza hata chembe.

Mlio na marafiki wa kike, urafiki wenu ukakuwa hadi mkawa kama dada na kaka/ndugu, hao marafiki mnawapataje?
hakuna urafiki wa hivyo. ukiukuta jua kuna mmoja anamvizia mwenzie amle au aliwe
 
Back
Top Bottom