sijajua ana maanisha nini kwa kweli!!!

sijajua ana maanisha nini kwa kweli!!!

Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???

Yani wanawake bhana nina kademu moja hivi kabukoka huko tumeaaza mahusiano mda sio mda mrefu tulikuwa tumepanga kukutana siku ya X-mass so ikatokea ghafla kikao cha familia nilipo mwambia kwamba siku tuliyopanga haitowezekana kuonana, akamesema au nina mwingine! pili anasema kwani lazima niende, ananilazimisha nisiende.usipo angalia anavuruga mishe zote.
 
kuna ukweli mwingi sana kwenye maneno yako hayo........ Inauma sana hasa ikitokea unampenda kwa dhati alafu yeye anakuchukulia ''just a friend''
very bad,,,when am thinking abt A yeye anafikiria Z
 
Husninyo mama, atapigaje chini kitu asichokibeba? Ok, ila mimi naona Sahar nawe una matatizo! Hivi utakubali vipi kulalamikiwa eti kwann hujamuaga, kwani we una ukaribu gani nae kiasi hicho!

Next time mkomalie akupe centre part yake, akikuzingua, mwambie huo ndio mwanzo, katikati na mwisho wa urafiki wa kijinga mliojenga kati yenu!
piga chini fastaaaaaaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Husninyo mama, atapigaje chini kitu asichokibeba? Ok, ila mimi naona Sahar nawe una matatizo! Hivi utakubali vipi kulalamikiwa eti kwann hujamuaga, kwani we una ukaribu gani nae kiasi hicho!

Next time mkomalie akupe centre part yake, akikuzingua, mwambie huo ndio mwanzo, katikati na mwisho wa urafiki wa kijinga mliojenga kati yenu!

kama anakereka afute mazoea naye. halafu wewe ushauri gani huo wa kumwambia mwenzio aombe hiyo kitu. kwani hawawezi kuwa marafiki tu bila kuombana!!?
 
daah kweli aisee!! Unajua hata akinitext nikichelewa kujibu, ananipandia hewani kujua kulikoni!??? Yaani malalamiko yake ndio hunifanya nimfikirie mara mbili mbili!!!

Ashakubali huyoo, wewe changanya na za kwako..
 
mhhh next time mwambie una gf utapata jibu

Huyo ashaingia bandani, dawa yake ndogo sana. We mpotezee kabisa, akiuliza mwambie nimeamua ku-move on na maisha yangu, siwezi kusubiri milele. Utaona atavyokuja mbio kwako.

Tena akipata safari ndo amwambie anakwenda kumsalim huyo GF ndo ataona reaction kamili!

Ckuingine safiri bila kumtaarifu halafu ukirudi
Akikuuliza mwambie umetoka kumsalimia wako wa maisha

Uone atakavyo react ...

Hapo ndo utajua anakuzingua tu ila anakupenda
Au hakupendd...

Nothing to add.................
 
Umezidi kuremba ungempa black n White aseme YES Au NO, short n clear hizo zinaitwa nataka sitaki
 
msimuhukum huya dada may be katendwa au alikua anazd kukuchunguza just mpe nafac but avoid fornication
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom