sijajua ana maanisha nini kwa kweli!!!

Ckuingine safiri bila kumtaarifu halafu ukirudi
Akikuuliza mwambie umetoka kumsalimia wako wa maisha

Uone atakavyo react ...

Hapo ndo utajua anakuzingua tu ila anakupenda
Au hakupendd...
 
unajua hata nikiwa nimesafiri, anapenda tuongee kwenye simu hata ikibidi usiku kucha. Sasa huwa najiuliza, huyo mpenzi wake wanaongea wakati gani!??
 
Hahh basi hiyo inatosha kuelewa kwamba anakupenda ila anataka kuplay hard to get
Wanawake bhana:D
 
Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???

Huyo anakutaka ila anapima upepo tu mpenzi wake akimzingua anahamishia mapenzi kwako,mbona sikuhizi ndo walivyo wanatega nyavu sehemu mbili hata tatu ili asipate shida atakapoachwa kwa mwngine
 
bwana weee,,,na nyavu zote zisiposhika???probability nyingine ngumu sana
 
Nyavu zote haziwezi goma ni watalaam wa kutega,ww haujasikia mtu kaachana na mpenzi wake baada ya mwezi miwili mwanamke anaolewa hapo unafikiri inakuwaje?
 
hahahaha,nshawai kusikia,ila mambo ya kuwekwa pending kama waiting call si mazuri,akisema No iwe hivo si vinginevyo
 
we mwambie kuwa asikubana wala kujinunisha kwako kwa kuwa nawe ushapata girlfriend uone kama hutojua ukweli.
 
hahahaha,nshawai kusikia,ila mambo ya kuwekwa pending kama waiting call si mazuri,akisema No iwe hivo si vinginevyo
No ya wanawake wa siku hizi haina mashiko hata kama anamume ukimkomalia siku mbili tatu tayari unamkamata na si unajua ndoa za siku hizi zinavyoyumba vijana huchukulia advantage tofauti na wnawake wa zamani hata kama mume wake amemuacha miaka mitano bado atavumilia wa siku hizi ukimuacha miezi mitatu anakuja kuomba ushauri eti mume wangu amesafiri miezi mitatu na ninahamu ila sitaki kumcheat huyo anakuwa anataka nn?
 
hehehehee,,,,huenda anataka ushauri kweli,,,,,hahhahaa
 
Mpotezee

Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki mawasiliano ya kawaida tu. Hata hivyo kinachonishangaza ni pale ninapokuwa nimepata safari na akajua kwamba nimesafir bila kumpa taarifa, basi atalalamika huyo, anajinunisha mpaka nimuombe msamaha ndio yana isha!!! Baada ya kuona hivyo juzi nikamkumbusha tena dhamira yangu, jibu alilonipa ni kwamba hayuko tayari kuingia mapenzini!!! Sasa swali ni kwanini anapenda kujihusisha sana na mambo yanayonihusu as if mie ni hubby ake!???
 
Last edited by a moderator:
hehehehee,,,,huenda anataka ushauri kweli,,,,,hahhahaa
Ushauri wa nini hapo? kwani alipokuwa anaolewa kitcheni part yake alikuwa anafundishwa nini? miezi mitatu unaanza kuomba ushauri ina maana hajui njia za kujisaidia anapokuwa na hamu na muhusika anapokuwa mbali? kipindi cha uchumba walikuwa wanagegedana daily? siku zote tunaamini wanawake ni waaminifu kuliko wanaume lakini siku hizi 50 kwa 50 inatimia kwa kasi sana!
 
hahahaha,nshawai kusikia,ila mambo ya kuwekwa pending kama waiting call si mazuri,akisema No iwe hivo si vinginevyo

kuna ukweli mwingi sana kwenye maneno yako hayo........ Inauma sana hasa ikitokea unampenda kwa dhati alafu yeye anakuchukulia ''just a friend''
 
Mpotezee huyo anakuletea usiku! Inaonyesha anakidume hapo chuoni kwao lakini hana imani maisha baada ya chuo hasa kipindi kile cha kutafuta kazi kama uhusiano wao utakuwa imara hivyo wewe anakuweka kwenye alternative list just in case hivyo ukiendelea kum-entertain atakupotezea muda tu.

Hizo zipo sana tu kwa vibinti vya chuo kuwekeza kwa wanaume wenye kazi zao kupima upepo hata kuna swahiba wangu yalimkuta hayo. Kapotezee tu hako kanakupotezea muda.
 
Salute sana kwako mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom