T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 991
Chadema imekufaCCM is completely frustrated......... wanatafuta gogo la kufa nalo.....!
Chadema imekufaCCM is completely frustrated......... wanatafuta gogo la kufa nalo.....!
Rest in peace chadema
mwenye uwezo wa kuban PAPARIHURU.COM ni TCRA, siyo JF ww vipi?
Mkuu Molemo, asante kwa taarifa. Prof. Beregu, kwa maoni yangu, ndio the only wise ndani ya CC ya Chadema akifuatiwa na JJ.Mnyika!. Ni mtu mwenye msimamo usioyumba na asiyekubali kupelekwa pelekwa kwa kutanguliza maslahi ya taidfa mbele ndipo nyuma chama kifuate, pale alipolazimishwa kujitoa kwenye Tume ya Katiba!, akawagomea kata kata hao "vichwa panzi" ambao kiukweli, mwanzo walikuwa na "uwezo" na "tuliwatumainia sana", ila sijui ni nini kimewapata!, uwezo wao unashuka kuelekea sifuri, zero, ila bado "watu" wanawatumainia", na ndio "wanawategemea" kwa 2015!.
Lets wait and see!.
Pasco.
Chochea kuni...
Chochea kuni...
Mimi nimechoka jamani.
Na wewe unaamini hii mada iliyowekwa na vibaraka wa MBOWE? jana ungesikiliza BBC ungejua Baregu naye out.
Mwananchi breaking news??? kama ni kweli kibaraka wa CCM anayemsema ni nani kama siyo yeye aliyeteuliwa na MWENYEKITI WA CCM kuingia tume ya Katiba?
Ccm, mhhhhhh, kaazi kweli kweli, yaani wameshindwa na chama chao sasa wameamua kuwa vuvuzela wa kutunga uongo kwa ChademaMimi nimechoka jamani.
Pole sana Pasco najua umeumia lakini utafanyaje?Mkuu Molemo, asante kwa taarifa. Prof. Beregu, kwa maoni yangu, ndio the only wise ndani ya CC ya Chadema akifuatiwa na JJ.Mnyika!. Ni mtu mwenye msimamo usioyumba na asiyekubali kupelekwa pelekwa kwa kutanguliza maslahi ya taidfa mbele ndipo nyuma chama kifuate, pale alipolazimishwa kujitoa kwenye Tume ya Katiba!, akawagomea kata kata hao "vichwa panzi" ambao kiukweli, mwanzo walikuwa na "uwezo" na "tuliwatumainia sana", ila sijui ni nini kimewapata!, uwezo wao unashuka kuelekea sifuri, zero, ila bado "watu" wanawatumainia", na ndio "wanawategemea" kwa 2015!.
Lets wait and see!.
Pasco.