Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Mimi nimechoka jamani.
yaaani we acha tu ...mi najisikia kutapika kabisa ..
Mimi nimechoka jamani.
Mods ikithibitika aliyeleta uzi apewe LIFE BAN pamoja na kwamba ana ID nyingine atakayoendelea kuitumia
CCM wanahaha lakini wapi,CDM ndo kila kitu mazee wao magamba yameishia viunoni lakini huku kwetu unafanya upuuzi tunainama kwenye katiba tunaona inasemaje tunachukua hatua ...CDM haina mtu fulani bali ina viongozi na wanachama na wote ni sawa
Chochea kuni...
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Prof. Mwesiga Baregu amekanusha vikali taarifa za kujiuzulu nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA zilizozagaa kwenye mitandao, asema hana mpango wa kufanya hivyo.
Professa Baregu amesema uvumi huo unaenezwa na CCM na vibaraka wake na kuendelea kusisitiza kwamba Chadema itaendelea kuwa moja na Imara zaidi.
Source:Mwananchi Breaking News
Mimi nimechoka jamani.
Molemo, naona roho inakwenda mbio...
Huyu ni Profesa wa kweli! sio hao maprof wenye tuhuma za kubaka!
ni bora mzee slaa amwombe msamaa zito. Teh teh teh teh teh.....
usichoke, shuhudia CHADEMA ya KASKANI inavyokufa.
Nani? Kaskazini?
chadema ni chama dume siyo kama ma ccm wabana pua majukwaani,uvumi na uzandiki na uzushi vinaenezwa na wazee wa buku 7
kaskazini CCM haina mbunge huko kama wachaga ni chadema mbona ccm wana wabunge toka majimbo haya acha ujinga mrisha.
Mods ikithibitika aliyeleta uzi apewe LIFE BAN pamoja na kwamba ana ID nyingine atakayoendelea kuitumia
utakufa wewe na chadema utaiacha inadunda mwanzo mwisho
Na wewe unaamini hii mada iliyowekwa na vibaraka wa MBOWE? jana ungesikiliza BBC ungejua Baregu naye out.Nilikuanajiuliza sana toka jana yaani Prof. Baregu niliyemjua mie ndio afanye uamuzi huo kwa political adjust ndogo hii...na kwa timing ya ajabu ajabu hivyo-Dah ningewazaa sanaaaa
Mwananchi breaking news??? kama ni kweli kibaraka wa CCM anayemsema ni nani kama siyo yeye aliyeteuliwa na MWENYEKITI WA CCM kuingia tume ya Katiba?
CCM ni ya Watanzania na wachagga ni watanzania.