Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

Pamoja na mods kuondoa siri sirini ya ccm kupoka mchakato wa issue ya zitto ikiwemo kushinikiza wanachadema kuasi chama kwa kuahidiwa vyeo na fedha bado nina imani kubwa na pro-baregu na mjumbe wa tume ya katiba mpya
 
Pamoja na mods kuondoa siri sirini ya ccm kupoka mchakato wa issue ya zitto ikiwemo kushinikiza wanachadema kuasi chama kwa kuahidiwa vyeo na fedha bado nina imani kubwa na pro-wetu

Umesema kweli tupu....Habari za Yericko Nyerere zilikuwa zinatupwa kapuni..
 
Yatasemwa mengi ila ndiyo wanawakomaza na kuwaandaa kisaikolojia kuchukua nchi.

Ukiona kiza kinazidi ujue asubuhi inakaribia na pia kumbuka kila baada ya ijumaa kuu huja sikukuu ya pasaka.
 
Hahaha prof! Si ndo alikataa kujitoa baraza la katiba akaitwa kibaraka? Lets wait n see! Wakikuchoka utapewa taarifa boss!
 
CHADEMA Kushney,kweli ngoma ya matoto haikeshi,Watoto wanalala na Mavi.
 
mtafukua taka taka zote mbaka za jikoni lakini cha moto mtakiona tu chadema ndiyo basi tena.
 
Mwananchi breaking news??? kama ni kweli kibaraka wa CCM anayemsema ni nani kama siyo yeye aliyeteuliwa na MWENYEKITI WA CCM kuingia tume ya Katiba?

Narrow minded....Katiba ni ya mwenyekiti au wananchi?? amemtumikia mwenyekiti au wananchi......?
 
tunataka kauri ya baregu hatutaki kauri za viongozi wa chadema wote ni walaghai waliosalia hapo chadema.
 
CCM tambueni CHADEMA si ile NCCR-MAGEUZI ya Mrema na Mabere Marando !

Nawapongeza CHADEMA kwa maanuzi waliyoyafanya.

Haiwezekani "individuals" wachache wayumbishe Taasisi.Haya ya kuoneana aibu na kuogopana yanawezekana ndani ya CCM tu!

CHADEMA should be stronger than individuals in the party.

Nawashauri CHADEMA watoe tangazo wanaotaka kuondoka waondoke mapema kabla hawajafukuzwa.
 
Mods ikithibitika aliyeleta uzi apewe LIFE BAN pamoja na kwamba ana ID nyingine atakayoendelea kuitumia

mods wanafanya maksudi.yaani hata kupiga simu kwa Beregu wameshindwa.wamemwacha Stela Mwampamba akifanya ujinga
 
Back
Top Bottom