nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,623
- 2,229
Mwingine wa Mbeya nasikia kapewa u DC, sijui Kama ni kweli
NCHI HII INA TATIZI KUBWA LA VIONGOZIMimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.
Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.
Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.
Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.
Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?
Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Mama Abdul anapuyanga tuFailed state
Wapi katiba ya nchi inakataza kumteua DED asiyetoka katika utumishi wa umma?!!!Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.
Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.
Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.
Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.
Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?
Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Chama kimeshika HATAMU....Bora liende,wanateua makada ili wakapige goli la mkono,kuhusu ufanisi sio kipaumbele chao mana kuanzia kichwani joka la kijani limejaza mafisadi.
Bila "strategies" hakuna tawala....Kila teuzi Iko na strategy zake....This is Tanzania
Huyo anayewateua akili yake yote iko kwenye 2025. Ndiyo maana hatuwezi kuendelea kwa kuwa viongozi wanawaza uchaguzi tu na matumbo yao.Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.
Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.
Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.
Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.
Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?
Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Ungekuwa ndio wewe usingekuwa na hayo mawazo ya 2025?!!!Tuko na Mama Ambiliki mwenye sikio la kufa. Akili na mawazo yake yote yako 2025.
Lini cheo kikawa kwa ajili ya waliosoma ?!!!Tulia wewe, nchi hii haihitajiki uwe umesoma sana ndio upate cheo. Hata kama hujui kuandika na kusoma ilimradi una connection basi utakula mema ya nchi hii
Kama kuku aliyekatwa kichwaMama Abdul anapuyanga tu
Delusion yako tuMama Abdul anapuyanga tu
Umeamua kukitukana...Ccm ni chama cha majambazi wamezoea kuvunja sheria
Soma post #25 halafu useme huyo Jamaa kama anazo hizo sifa.Umeishia kuandika blaa blaa tu pasipo kuonyesha kwa hoja na ushahidi kuwa aliyeteuliwa hana sifa kama unavyotaka kuaminisha watu hapa. Je unajuwa historia yake katika Taifa hili? Unajuwa kabla ya kuwa mwenyekiti alikuwa nani? Unaifahamu Elimu yake? Unafahamu amefanya kazi maeneo yapi katika Taifa letu? Acha kukurupuka tu hapa.
Chaguo la Mungu hilo.....Kama kuku aliyekatwa kichwa