Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,918
🤣🤣🤣🤣🤣Jichanganye![]()
Mfuko ukowa haueleweki huwa hamkubali, wacha muongopewe tuSasa km mfuko haueleweki si angegoma kutoka Mxxiew!!
Kuchoreshana tu!! Wewe mnashare vipi plate ya msosi![]()

Sio brazilian hair
Peruvian hair yayuu
Sweet mangi huna mba mba mba🤦🤦Sio brazilian hair
Yeah sure....upo sahihiUkipewa 'option' hiyo, na kama una malengo ya muda mrefu na huyo muhusika; tafuta sehemu yenye bei elekezi.
We njaa inauma vibaya shemeji!halafu mbele yako unaona makange ya prons famchezo!Mfuko ukowa haueleweki huwa hamkubali, wacha muongopewe tu
Sema mwamba alichokosea ni hiyo kushare plate ya msosi, hapo alitakiwa akaushe![]()
Weee thubutuu huwa mnasema hivi ila mnafanya kinyume chake, utakuta mwanamke ana hizo sifa ila unamuacha au unachepuka, kisa tu ni gogo hajui viuno kitandani unaenda kwa hao wanaojuaSema wewe ulikuwa humtaki pia.
Mi najua Msichana akishakukubali na ana malengo na wewe she will always be simple and cheap.
Zile mitoko mnaenda mnatumia 100k kwa misosi next time anakwambia baby hizi tulizokula ni Kuku tu na Juicy hata kwetu tungetengeneza Kuku na Juicy na isingefika hata elfu 30. Baby let us save money.
Unajua hapa una chombo.
Wanaume wote tunapenda wananwakw wa dizaini hii hata kama tunajifanya hatujali
Kabisa hizo zote lazima tuzijue maana slay Queens ndio mikato yaoSweet mangi huna mba mba mba![]()
We njaa inauma vibaya shemeji!halafu mbele yako unaona makange ya prons famchezo!


unazuga tu kuliko hiyo aibuMkuu hao wanawake wanaowafaa kwenye shida na raha huwa mnawalipa nini zaidi ya kuwaacha mkishafanikiwa, na hata mkiwaoa mnawasaliti na wanawake ambao mlishindwa kuwapata kipindi hamkuwa na hela, mkiulizwa mnasema eti ndio maana tunawaoa sasa heshima ya hiyo ndoa iko wapi ikiwa hata hiyo michepuko inapata huduma (mapenzi, ngono, pesa na muda) sawa sawa na unavyompa mkeo ilihali hakuna chochote wanachooffer kwako zaidi ya ngono tuAkikutoa Tena Dinner Niite Mbwa.. Mwanaume anakupima Ww ni mtu wa Namna Gani siku ya Kwanza Tu ... Hapo keshaona Huyu hanifai kwenye Shuda na Raha.. Maana Siku akikosa Utaleta Uzi tena humu
Na Mimi nakuona kamq Mjinga Na Mwanamke wa Hovyo kwa Kuleta humu
🤣 Eeh huko ndio kula kujigalagazaHivyo ndio vyenyewe Sasa!32 kilo mbili choma hatari kabisa😅...ukiweka na monde zako 5 maisha poa kabisa
Kuchepuka sio kumuacha mtu. Ni expansion joint tu. 😀Weee thubutuu huwa mnasema hivi ila mnafanya kinyume chake, utakuta mwanamke ana hizo sifa ila unamuacha au unachepuka, kisa tu ni gogo hajui viuno kitandani unaenda kwa hao wanaojua
Viuno muhimu ....kuna vitu ni standardWeee thubutuu huwa mnasema hivi ila mnafanya kinyume chake, utakuta mwanamke ana hizo sifa ila unamuacha au unachepuka, kisa tu ni gogo hajui viuno kitandani unaenda kwa hao wanaojua
Unajua maana ya kutolewa out?Na nyie mjifunze kujitegemea
Point nzuri hiiKuna wanawake wa ajabu sana duniani, wanajali kupokea tu bila kutoa chochote angalau hata upendo huo nao ni utaoaji lkn hawana pia.
Ona anasema hamtaki tena.
Huyu ni Slayqueen mwaminifu kabisa.
Pili wewe huna uzee wowote.
Tuma nauli wakufuate newforce zimejaa mkuu lkn wanapokuja waje na asali na mafuta![]()
We tunaenda kula pweza tu mtaani na miguu ya kuku
hamna namna ingine
Basi ndio mkubali kuanza wenyewe from the scratch ili mkianza kutumia hela zenu na wanawake wengine msiumize watoto wa watu waliowavumilia kwenye shida, ila hii ya kutaka mtoto wa mtu aanze na wewe halafu mwisho wa siku mkifanikiwa hela zako unataka ukatumie na wengine pia ambao hawakuwepo kwenye mahangaiko yenu haijakaa vizuri, acheni tu wanawake wote wafuate hela kwenu maana hamuna namuna ukitaka vitu toa hela simple tuKuchepuka sio kumuacha mtu. Ni expansion joint tu.![]()
Haimaanishi mwanamke hapendwi ila tu mwanamke mmoja hatoshi kwetu wabantu. Lazma utakuwa unapooza rejeta mara moja moja.