Siipendi hii tabia

Siipendi hii tabia

Nyie wanaume muache na muwe wakweli
Mnadhani mkijitutumua ndo mnaweza kumpata a girl easily kumbe
Mie binafsi sijawahi kujitutumua. Niliwahi kumtoa Demu wa Kishua pale Buguruni Sheli na sikuona shida.

Yeye alidai nimempeleka yenye hadhi ndogo. Mi sikujali nilijisimamia kama mimi kwa upande wangu enzi hizo nikiwa mwanachuo yeye baba yake akiwa Senior Lecturer.

Hata hivyo tulikula Mchemsho wa Ndizi na Mbuzi na Soda. Usiku tukageuza.

Dada Angel kama uko humu thibitisha hili.

Angel huyu alikuwa anapenda sana Maisha ya juu. Clubs kila weekend. Msosi Lunch anakula wa elfu kumi mimi Booom napata elfu 5. Ningejitutumua vipi?

Sema she liked me than my money. We drove our love hadi watu wakashangaa
 
Mmeona jamani jinsi BIDHAA inavyouzwa kwa Ghali?

Hapa MUUZAJI wa BIDHAA amekasirika amekutana na MNUNUAJI ambae anauchungu na Pesa yake.

Ila Muuzaji wa BIDHAA hana CUSTOMER care nzuri alipaswa aitunze hiyo number just incase next time aweze KUVUNA/KUPUNUSA fedha za Mteja.

It’s not what you think
Uyu alikua ananitaka tuingie kwenye relationship ila Bado nilikua sijamkubalia
Sasa ndo akaona Sijui akisema choose any place Sijui nini ndo mm ntalainika kumbe kaharibu mwanaume yule asiejiamini
 
Yy mwenyewe aliridhia kama angekua hawezi sio uwe mkweli hamani khaaaaa
Unatakiwa ujiongeze na wewe, mwanamme anapokwambia chagua ujue anakupima akili yako.

Amegundua wewe hujiongezi ndio maana amefakamia chakula, amejua hutakuwa wake ndio maana ameona badala ya kukosa vyote bora ale chakula tu🤣🤣🤣
 
Sisi huku ukimpata mtu limbukeni ambaye hana exposure ukampeleka sehemu ya maana basi anaona leo ndiyo kapata bahati. Ataagiza vitu ghali ambavyo angekuwa yeye ndo analipa asingevigusa.
Na hii ndio sababu hata viongozi wetu ni wafisadi kwa sababu hawajali mali na pesa za Umma. Ni utamaduni wa hovyo.

Nimekutana na Friend yuko location then akama ana nipa ofa ya kitu then nachagua kitu kizuri huku nikizingatia na gharama pia. Maana huwezi jua mfuko wake ukoje.
 
It’s not what you think
Uyu alikua ananitaka tuingie kwenye relationship ila Bado nilikua sijamkubalia
Sasa ndo akaona Sijui akisema choose any place Sijui nini ndo mm ntalainika kumbe kaharibu mwanaume yule asiejiamini
Sema wewe ulikuwa humtaki pia.

Mi najua Msichana akishakukubali na ana malengo na wewe she will always be simple and cheap.

Zile mitoko mnaenda mnatumia 100k kwa misosi next time anakwambia baby hizi tulizokula ni Kuku tu na Juicy hata kwetu tungetengeneza Kuku na Juicy na isingefika hata elfu 30. Baby let us save money.

Unajua hapa una chombo.

Wanaume wote tunapenda wananwakw wa dizaini hii hata kama tunajifanya hatujali
 
Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!

Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.

My point is Kwann mwanaume usiwa honest kuwa unaweZa kuafford places flani?
Na kama mwanaume unataka 50 -50 si useme sasa ili mjadiliane mjue how we move forward
 
Salio
hiyo tabia inaitwa salio.

Hebu na wewe siku muulize hayo maswali uone je, ata respond.

Muwe mnatumia pesa zenu pia

Mimi I don’t have an issue kutumia my money ndo maana am working to earn my own money and be independent woman
Shida yy kujitutumua kumbe hayuko ivo
 
Wewe pia ni masikini huna chochote cha kutoa kwenye mahusiano zaidi ya pussy! Si na wewe ungetoa hela ukamuagizia ukasema "best! Naona ulikuwa na njaa ebu gonga na hii menu! Tafuteni hela wadada!

Why nimuagizie wakati yy ndo alisema everything will be on me
So na mm nilikua na my budget ya usafiri and so on , kumnunulilia yy chakula haikua kwenye my budget
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom