Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
monde arabe 🤣🤣🤣noma sana.
monde arabe 🤣🤣🤣noma sana.
Amesema aliambiwa chaguaKwa nini uchague sehemu ambayo bia ya kawaida inauzwa 5000?
Huu utamaduni mzuri sana. Huwezi kuchagua sehemu ambayo wewe mwenyewe huwezi ku affordNiliwahi pata kasheshe ya kufa mtu. Nilikuwa bado mgeni mgeni. Profesa wangu alikuja akanikuta nimekaa sina hili wala lile akaniambia SYB let's go grab some lunch. Sasa nikafikiri kuwa kwa vile yeye ndo kaniambia basi atakwenda kulipa bila shaka.
Tumepiga msosi tumemaliza namwona huyoo amekwenda akalipa bili yake huyoo akatoka nje kunisubirisha. Na mfukoni sikuwa hata na wallet. Kikawa kimbembe!
Ndiyo nikajifunza utamaduni wao. Hata binti ukimtoa out anakuja amejiandaa kulipa nusu labda uwe muungwana umkataze. Na hii inasaidia sana mtu kutoagiza wines ghali hizi za $100+ kisa tu kaona kuna mtu anamlipia. Nilipenda sana utamaduni wao huo.
Sisi huku ukimpata mtu limbukeni ambaye hana exposure ukampeleka sehemu ya maana basi anaona leo ndiyo kapata bahati. Ataagiza vitu ghali ambavyo angekuwa yeye ndo analipa asingevigusa.
Ila kama uko vizuri na ukamhakikishia mtu kuwa aagize cho chote, siyo vizuri tena kuja kumgeuka kama jamaa yetu alivyofanya. Na mabinti wenye uzoefu atamwacha kwanza jamaa aagize na yeye atachukua hints kutoka pale. Na kama wamezoeana anaweza tu kuuliza point blank kwamba una uhakika naweza kuagiza cho chote?
Wewe ni kupe mpumbavu sana, would you have taken yourself there on your bill? Videmu ushubwada ndio hua nawatakia kama nyie, too much poverty oriented egoYani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Labda alikuwa anakupima uwezo wako wa kufikiri juu ya kila anachokisema ila ukapelea🤔Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Ubinadamu 👏🏼👏🏼👏🏼Mapenzi ya kununua kwangu hapana.
Nimewahi kufanya vitu vya ajabu kidogo.
Ikiwa nimemsaidia mrembo, baadae nikagundua anataka kulipa fadhila ya mwili wake huwa sikubali ujinga huu.
Hii imenikuta mara kadhaa...mfano mmoja binti flani wa chuo, nilikuwa namfahamu kiasi flani.
Alikosa kodi akanijia akilia sana kwani akishapewa notisi...nilipomsaidia baada ya wiki akaniita akanishukuru...nilipogundua kuwa shukrani yenyewe ndio hiyo kuanzia siku hiyo sikutaka hata maxoea.
Wanawake sometimes hawajiamini kuwa kuna mwanaume anaweza kumsaidia na asimtake.
Achana na fiksi za Vijana, they were just guessing na kujaribu kupata undani wa Babu yao.nakuuliza tena...Chibonge wa migombani karibu na ziwa kuu hajambo?🤣🤣🤣🤣🤣
Kama nilikuona Njombe kwenye Miparachichi. Mzee hakika utapiga Sana pesa 😂.ni msemo tu mwanetu😂
Avatar kwa kweli iko vizuri. Kama ni yake kweli tusimlaumu baharia kujitutumua kumpeleka sehemu ambayo haimudu. Labda umbo lilimchanganya! 😁Wangapi tumeangalia kwanza profile pic....kabla ya kusoma jumbe ya mrembo...
Ila tangazo lilipiweee...
Well, uko sawa lakini swala la lodge au hotel ni la mwanaume siyo akupangie mwanamke.Madem wengine km zombii.... Mim nlkuwa sna gari naish kwa kurekwesti bolt.... Niliwaambia skup Zaid ya 30k..... Huez sepaa ela yangu Bora ninywee Pombee iishee
Utazungusha Maneno tu lakini dunia ya sasa pesa ndio ina facilitate mapenzi, kubali au kataa.Mapenzi ya kununua kwangu hapana.
Nimewahi kufanya vitu vya ajabu kidogo.
Ikiwa nimemsaidia mrembo, baadae nikagundua anataka kulipa fadhila ya mwili wake huwa sikubali ujinga huu.
Hii imenikuta mara kadhaa...mfano mmoja binti flani wa chuo, nilikuwa namfahamu kiasi flani.
Alikosa kodi akanijia akilia sana kwani akishapewa notisi...nilipomsaidia baada ya wiki akaniita akanishukuru...nilipogundua kuwa shukrani yenyewe ndio hiyo kuanzia siku hiyo sikutaka hata maxoea.
Wanawake sometimes hawajiamini kuwa kuna mwanaume anaweza kumsaidia na asimtake.
Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!
Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.

Wangapi ambao wamewahi kufanya hivi kwako?Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Ukipewa 'option' hiyo, na kama una malengo ya muda mrefu na huyo muhusika; tafuta sehemu yenye bei elekezi.Amesema aliambiwa chagua
uzee wako kumbaf kabisa🤣🤣🤣Achana na fiksi za Vijana, they were just guessing na kujaribu kupata undani wa Babu yao.
Ila nimekuwa mtu mwema kuliko wengi kule.
Hata hivyo, sio rahisi kujihusisha na mambo hayo katika Umri huu nilionao Mkuu
Japo kwa wengi ni ujingaUbinadamu 👏🏼👏🏼👏🏼
Karibu Mkuu, Walipo Wazee hakuna kitu kinaharibika 😅uzee wako kumbaf kabisa🤣🤣🤣
Nitakucheki mzee mwenzangu tuijenge dunia iliyobora🤣🤣🤣
Umeongea sahihi MkuuUtazungusha Maneno tu lakini dunia ya sasa pesa ndio ina facilitate mapenzi, kubali au kataa.