Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,921
Hahah hamna hio huwa tuna sense tu.Utashangaa tu umebakia mwenyewe na bill zako za kulipa. Maana Menu ikija ukaona muhun kaagiza maji jua mbombo ngafu.



🤣🤣🤣Mbona rato Kwa rato,kaona heeee ya Nini mie,ngoja nipoze njaa,......ila wadada wa kibongo ndio maana tuna vitambi yaani tukitoka out ni kula kujigaragazaMwanaume analipa ila inakuwa sio fairplay. Jamaa aliona msosi wa 45K ale demu tu akaona bora waende rato kwa rato🤣
Tuko kwenye dozi ya maleria 🤣 ushauri wa dokta muhimu.Km pesa huna pumzika home au muite maghetoni hiz sifa zitawaponza
Si tunajua mkiagiza maji mnajali afya zenu![]()
Unajigaragazaje plate 45K jamaa alikuwa na 50K kaagiza maji ya buku 5 mpunga umekata. 🤣🤣🤣🤣Mbona rato Kwa rato,kaona heeee ya Nini mie,ngoja nipoze njaa,......ila wadada wa kibongo ndio maana tuna vitambi yaani tukitoka out ni kula kujigaragaza
Sasa Mimi sio kila mtoko navaa wigi, zingine najiendeaga na lowcut yangu Sasa hapo si ni kudeki mgahawa tu?🤣🤣🤣Siku hizi wanakuvua wig nasikia 🤣🤣🤣
Me kwakweli hiz out za wamatumbi lazima nibebe cash na tembo card incase tukizinguana nisiaibike.
Km Sina pesa siendi, wamatumbi hawajawahi kueleweka
Anaenda na wewe Rato kwa Rato mpaka tamati ya diko. 😀Simtetei mwanamke ila Mwanaume kakosa ustaarabu unajua kuna watu hata huku mtaani usije ukawakaribisha atahakikisha anaenda na wewe sambamba mpaka sahani inakua nyeupe
Sasa Mimi sio kila mtoko navaa wigi, zingine najiendeaga na lowcut yangu Sasa hapo si ni kudeki mgahawa tu?![]()


Ndo maana mimi nasema 50/50 ikiwa applicable kwa vitendo wanawake ndio watakaoumia. Wengi watakosa sehemu za kuishi wengi watakufa njaa. Wamekazania 50/50 kwa sababu hawana maono ya mbali. Mfano huyu mleta mada katoka date na jamaa halafu anataka kulipiwa kila kitu akitoka hapo anadai 50/50Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!
Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.
Tuko kwenye dozi ya maleriaushauri wa dokta muhimu.



😅😅😅Hapo kwenye chenchi umeua...Unajigaragazaje plate 45K jamaa alikuwa na 50K kaagiza maji ya buku 5 mpunga umekata. 🤣
Wakat wangeenda sehem ya kawaida wangeinjoy kwa uchakavu usiozidi 20K tu. Chenchi inayobakia ni Lodge
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah nimechekaa sana..
Watakuvua viatu au utaacha simu nakwambia
Hadhi ujipeleke mwenyewe. 😀😅😅😅Hapo kwenye chenchi umeua...
Watu wanataka kwenda zao sehemu zenye hadhi😄😄
We nae njaa zinakusumbua ,ndio maana unalia Lia tu hapaYani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then yeye Ana order maji tu.
Ukimuuliza Kwann anajifanya nimeshiba halafu ukimkaribisha icho chakula anajifanya Ngoja nionje tu mwisho wa siku mnaenda pasu kwa pasu.
Yaani kaniudhi nilivoona anakula sana nikajifanya Mimi nipo kwenye diet nimeshiba, bila aibu kamaliza chote wakati before alisema ameshiba.
Jamani wanaume kujitutumua kwingine hakufai khaaaaaa.
Mtu si bora uwe mkweli tu mimi I can’t afford izo places ntakuelewa kuliko Hii embarrassment.
Nimefuta his number sitaki tena kumuona wala kuwasiliana naye.
Tunazo Sasa😅😅😅Hadhi ujipeleke mwenyewe. 😀
Ndo mvumilie tukipelekana vijiwe vya kitimoto safiTunazo Sasa😅😅😅
Hivyo ndio vyenyewe Sasa!32 kilo mbili choma hatari kabisa😅...ukiweka na monde zako 5 maisha poa kabisaNdo mvumilie tukipelekana vijiwe vya kitimoto safi