Wewe ndo wale wale hamna cha kuchangia zaidi ya kutoa pussy na mwanaume akiomba mtoko huwa mnafanya kama kukomoa ivi kwann usinge chagua sehem nzuri ya bei rahisi? Kwanza jamaa angekuona una akili sana hata mshikaj huko alipo na yeye atakuwa amefuta na namba yako kabisa!
Nilimuombaga dem mmoja mtoko akakubali nikampa location tutakapo kwenda akasema mbona mbali sana gari yake haina mafuta nikamwambia usijali nitakutumia hela ya wese akasema poa nilichokifanya nikasema ngoja nione huyu ni mwanamke wa aina gani nilimtumia 30k nikamwambia weka mafuta hiyo akajibu sasa 30k itatosha mafuta gani na gari yake ina engine kubwa asee hapo hapo nikasema basi baki huko ulipo mimi nitakufata nilivyokata simu tu nikafuta na namba stupid kabisa! Yani 30k ya mafuta yeye anaona ni ndogo mbona hakuwa nayo sasa