nimekualika, umeagiza ukipendacho, ukafakamia na wine juu, Lakini bado unalalamika?
sasa unataka upewe nin tena asee,
yaani badala ya kunishukuru kwa hicho kidogo kijana wa watu nimejibinya , unalalamika, unaumia na unazira kabisa?
hujui kwamba hiyo ni investment unatakiwa kuiheshimu? Itakusaidia ipo siku usiyoijua na utanikumbuka nakwambia tena , dunia tunapita tu.....
Sijapenda ulivyokuja kunianika na kunitangaza humu jukwaani, si ungeniambia tu papepale.
Yaani umeniblock bila sababu nakupigia na namba nyingine unajifanya hupokei, Asante nashukuru kwa yote ila ujue nimeumia.