Sure, hata mimi namuona mjinga sana. Siwezi kusema huyo mzee kakosea kumuambia ukweli.Jina halina uhusiano na wewe hata kama ungeitwa kisu hamna ambae angepinga na undugu ni kusaidia na sio kufanana nilichokibaini kutoka kwako ni kadiri ulivyokisoma ndivyo ulivyokipingua akiri umefundishwa miaka yote kwa maneno na matendo kwamba huyu babayako na huyu mama yako wakakughalamia kwa juhudi na maalifa kisha anakuja mjonga mmoja tu kuvunjwa elimu uliyofundishwa na wepenzi wako wanaokutakia mema tena kwa dakika 5 nawe kwa ujinga wako unafuta yooote na kuanza kuomba ushauri kwa jambo la kipumbavu. Umenichukiza sana lau kama mimi ndie ningekua mama yako na adabu hiyo unayonivunjia kwa kuwa tu eti umepata kazi sasa na unajifanya unajitambua ningekuazibu azabu ambayo dunia ingejifunza kitu kutokana na ujinga wako.
Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
Nothing just curious to know the truth, by the way i don't hate anything about the chaggas I'll kinda be hating myself because I'm everything, absolutely everything about them,whenever i mention my name or wear my name target at work normally everyone thinks that I'm from Kilimanjaro, sometimes my fellow military staffs even call me mangi and i don't have an option than accepting it because if I react i will be obliged to tell everyone my story something which i can hardly do
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
hutafuti ukweli, bali unatafuta ujinga usio na maana.I thought knowing oneself is part of what you're talking about (education) but i don't blame anyone concerning what they have to offer as an advice/comment by the way education is a wide concept, so i don't know how you define education from your perspective but when it comes to me incase if I'm to be asked i would say Education is what triggered the need to find out the truth.. Trust me kama sio shule nisingekua na sababu ya kuutafuta ukweli ulio jificha
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Nilimaanisha unajaribu kufungua vitu ambavyo vilishafungwa kitambo. Kama mama hakuamua kukwambia mwenyewe nakushauri brother u better leave it. Hawa wazazi wetu wanahangaika sana kutulea kuna mapresha ndani sisi hatujui. Muache mama bhana usimuhangaishe mkuuSamahani brother kufukua makaburi maana yako ni ipi hasa? I mean how is it related with digging graves
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
You started like a Bang but unfortunately ended it like a whimper it is your advice anyway you are still entitled to your opinions [emoji12]Jina halina uhusiano na wewe hata kama ungeitwa kisu hamna ambae angepinga na undugu ni kusaidia na sio kufanana nilichokibaini kutoka kwako ni kadiri ulivyokisoma ndivyo ulivyokipingua akiri umefundishwa miaka yote kwa maneno na matendo kwamba huyu babayako na huyu mama yako wakakughalamia kwa juhudi na maalifa kisha anakuja mjonga mmoja tu kuvunjwa elimu uliyofundishwa na wepenzi wako wanaokutakia mema tena kwa dakika 5 nawe kwa ujinga wako unafuta yooote na kuanza kuomba ushauri kwa jambo la kipumbavu. Umenichukiza sana lau kama mimi ndie ningekua mama yako na adabu hiyo unayonivunjia kwa kuwa tu eti umepata kazi sasa na unajifanya unajitambua ningekuazibu azabu ambayo dunia ingejifunza kitu kutokana na ujinga wako.
Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
Asante Mirajin i really appreciate your contributionUnachokitafuta kiko sahihi kabisa ni vizuri ujifahami hata kama huyo mzee hakukulea wewe ulikuwa mtoto huwezi kuelewa Mambo ya nyuma kwani kujua ukweli kuna ubaya gani je kama huyo mazazi wako alikuwa fukara utajuaje tuache kupotosha ukweli huyo mazazi anachokificha ni nini Hizo chuki zake na huyo mazazi wako asikujumlishie na wewe busara ni vizuri Zaidi ikatumika kuliko kukukatili usijue ukweli
Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
Asante ndugu nimekuelewa the same case applies to me now and I'm comfortable with it. but it's just the other part of me that pushes me to the limitsWaswahili walisema "Undugu ni kufaana, si kufanana".
Unajua hata Nyerere Chifu Burito si baba yake wa kibaiolojia lakini ndiye aliyemlea, aliyemsomesha na ndiye anayepata ujiko mpaka leo kwamba baba yake Kambarage Nyerere?
Unajua Baba yake wa kibaiolojia Bill Clinton jina lake si Clinton, Mzee Clinton ni Baba aliyekuja kumkuta Mama yake Bill ana mtoto tayari, akamuoa,lakini kwa sababu alimlea mtoto vizuri mpaka jina Bill Clinton akabadilisha kutoka William Blythe (Blythe ni jina la familia ya baba yake wa kibaiolojia) akajipa jina la Bill Clinton (Clinton ni baba yake aliyemlea)
Guess what?
Majina ya Nyerere na Clinton yamevuma kama majina ya marais kwa sababu ya ulezi wa mababa hawa, si kwa sababu ni mababa wa kibaiolojia.
Anzisha ukoo wako na kabila lakoHabari za leo wana forum,
Mimi ni kijana at late 20's toka nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90 nilikuwa nafahamu kuwa baba na mama yangu ndio hawa waliokua wakinilea lakini mwaka 2015 wakati nimemaliza chuo na kurudi nyumbani niliipata taarifa ambayo ilibadili mtazamo wangu kuhusu hawa wazazi wangu na siri kubwa waliyo nayo.
Iko hivi kwa mama yetu mzazi tuko watoto wa nne, mimi ni wa pili kuzaliwa kuna wa kwanza wa kiume na wadogo zetu wawili wa kike na kiume ambao sina shaka juu ya uhalisia wao kwa kua wamezaliwa nikiwa na akili timamu.
Baba yetu tunae mfahamu ni askari wa jeshi la wananchi na mama yetu kipindi hicho alikua ni mwalimu wa shule ya msingi. Kusema ukweli mzee huyu ametulea ki- dictator mpaka inafikia stage unamuogopa and you cannot make story with him or express yourself to him as your father lakini tukazoea na kuona labda tunalelewa kijeshi and by then we lived in a military Barack.
But the good thing about the oldman ni kwamba amekuwa na moyo wa kujitolea kuhusu maisha yetu like taking us all to the most expensive school in town and supplying all our basic needs abundantly, inshort he is Generous nadhani hii ndio sababu iliyotuaminisha kua he is our biological father kwa kua mpaka ada ya kulipia chuo kikuu amenilipia bila kua na mkopo kutoka HESLB.
Sasa wakati nimemaliza chuo nilirudi kijijini kumsalimia bibi (mama wa mama) huko nilikutana na mzee mmoja ambae alinitambua kwa jina la asili ambalo sikuwahi kulijua kabla nilishangazwa na lile jina nikaamua kumuuliza yule babu vipi mbona tunaitana majina ya ajabu.
Mzee akaniuliza kwani wewe unaitwa nani nikamtajia jina langu kwa kudhani kua amenifananisha, akasema "nakufahamu tokea ukiwa mtoto wa umri wa siku moja" yaani kabla mama yetu hajaolewa na huyu mzee tunaemuita baba, honestly he ruined my day and i almost slapped him on his face but thank God i managed to conceal my true feelings.
Nikamwambia mzee kabla sijaondoka nitakuja nikuone tuongee vizuri. Hata sikutamani tena kukaa kwa yule bibi yetu muda wote nilikua nafikiria maneno ya yule mzee baada ya siku 3 niliamua nimuage bibi and i went straight to the oldman's house.
Yule mzee alinieleza kwa masharti kua nimekua mtu mzima nahitaji kujitambua mimi ni nani, na asingeweza kuniambia hizo taarifa wakati wa kipindi cha nyuma labda nisingeweza kumuheshimu huyu mzee wetu ukizingatia anatusaidia kwa mambo makubwa ambayo mama yetu as a single parent asingeweza ku afford like taking us all to international schools.
Nikamuuliza mzee vipi kuhusu hili jina ninalotumia? Akanieleza kua baba yetu (sisi watoto wawili wa kwanza) alikuwa ni dereva wa magari makubwa alikua akija pale nyumbani kwa msimu na hakua akituhudumia.
Sasa huyu askari alipohamishiwa kwenye mji ule kikazi ndipo akakutana na mama yetu akiwa na watoto wawili (mimi na kaka yangu) akafanya kutu adopt na kutubadilishia majina yetu na kuanza kutumia majina ya ukoo wake, kuna muda baba yetu alikuja pale nyumbani alipata kichapo akaenda mahakamani akashindwa kesi kua hana mchango kwa familia kwa hiyo akatoweka mpaka Leo, mimi mpaka sasa hivi sijijui kua ni nani.
Nikimaanisha kabila wala ukoo, ndugu zangu wote hawajagundua hili and we all live like brothers, namuheshimu sana huyu mzee na amefanya kila kitu kuhakikisha tunasoma ili tujitegemee kiasi kwamba nilivyomaliza tu chuo akanitafutia nafasi jeshini moja kwa moja and to be honest I was just glad.
Naomba mnishauri hapa kwa kua niliamua kumkabili mama anieleze ukweli kwa njia ya kumdadisi kwa kua sifanani na mama wala na baba huyu tofauti na wadogo zetu. Lakini mama amekua mkali kua namkosea heshima maswali hayo ni ya kumvua nguo na nimekosa nini kwa baba huyu mpaka kuulizia mtu nisiye mfahamu wala asiyenisaidia lolote.
Yuko sahihi lakini mimi natumia majina ya kichaga ambayo kiuhalisia nimepewa tu hayana mahusiano na mizizi yangu mie and what disturbs me the most ni wanangu, hawa wanangu watakua kabila gani? Si nitakua nimewapa kabila ambalo sio lao? Na wajukuu zangu pia?
Naombeni ushauri this is killing me inside whenever it comes to my mind because I'M A STRANGER TO MYSELF
Regards
Pharaoh_2

Sasa wewe Maserati unaniona mjinga kwa lipi labda? Kwani nimesema namdharau mlezi wangu? Mbona i have explained everything in detail!! Mambo ya kusema kunao watu wanatamani wangepata wakuwa somesha inatokea wapi?? Kwa hiyo ni mimi nimeziba nafasi zao au unamaana ipi? This is a no brainer situation, from what i know each and everyone of us have our lives written by THE MOST HIGH before the foundation of the entire universe, point yangu ni kwamba maisha unayo ishi wewe yalijulikana kabla hata hujazaliwa haijalishi umeangukia mikononi kwa nani, hata kama asingekua huyo ambae amekua msaada kwako bado it could not change what the nature has decided for you, Trust me angetokea mtu mwingine ili tu maandiko yatimie.. So don't tell me I'm lucky because it was supposed to be that way and this doesn't change my desire to know who I really am!! Let the nature take place and the nature is God himself [emoji115]Sure, hata mimi namuona mjinga sana. Siwezi kusema huyo mzee kakosea kumuambia ukweli.
Lakini, lazima ujielewe ujue kuna watu wanatamani wangepata watu wa kuwasaidia na kuwatoa katika dimbwi walilomo now, fikiria huyo baba ako mzazi mjinga mjinga unae mtaka angefanga alichowafanyia as huyo mzee alivyowaambia hivi unafikiri hizo international school ungezisoma?? Ungezisikia kwenye bomba tu, wala hiko chuo kikuu pengine usingefika. U just tell your mom, you proud of your father kwa kuwasomesha and taking good care of you, but you hear this and this, is it true??
Sio unauliza kufanana, kufafa hata nyani wamefanana na sio ndugu.
Kwa maelezo yako haya huna budi kumtafuta babaako kwa udi na uvumba na ndio kitu nilichogusia kidogo kwenye ushauri wako .Umeongea ukweli japo kua sikuelezea kutoka mwanzo kuna mambo niliambiwa na yule mzee lakini sikuyatilia maanani labda kwa kua sijalelewa katika familia inayo amini mambo ya mizimu au anything that has something to do with witchcraft or spiritual commitments zilizofanywa au walizo kua nazo wazazi wetu halisi upande wa Baba (spiritual background)
Ni hivi ukiniacha mimi kuna kaka yangu pia (as i said previously) hua anasumbuliwa na some kind of evil spirits zinazomfanya ashindwe kabisa ku-focus kwenye maendeleo yake as a person dispite of having a good paying job his family never had peace, he even attempted killing himself, let alone him I also have my complications (prefer not to say) tofauti kabisa na hawa wadogo zetu wawili waliozaliwa tukiwaona they live peacefully and never went through what we are going through. Siamini sana mambo ya mizimu lakini niliambiwa kua we may not be settled in life because we're disconnected from our Origin and our Fathers (whenever they're) are not happy with it
Hii pia ni sababu iliyo nifanya niutafute ukweli
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Unazijua mahakama za Tanzania kwa undani ?? Tanzania hatuna sheria ya kumnyima fatherhood mtoto eti kisa hakumtunza .seek legal advice kwanza kaka.Umesoma vizuri mkuu? Aliishia kichapo kupelekwa mahakamani na akashindwa kesi kwa sababu hakuwa na mchango wala msaada kwa familia, umeelewa ndugu? Hata mahakama iliona hana mchango.