Sifahamu mimi ni nani

Sifahamu mimi ni nani

Mkuu baba yako mzazi kweli si huyo. Nikuulize swali! Hao wanaokuambia pesa na matunzo havimnunui mtu watueleze endapo tangu baba yenu kawaacha mngekuwa hamjatunzwa mngekuwa hai? Huo wakati alokuja kuwatafuta alikuwa anamtunzia nani hao watoto? Ukikaa siku 10 hujala hujavaa unakuwa hai?

Hata yesu alilelewa na baba wa kambo relax.
 
Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom