Mkuu vitu unavyovitafuta havina faida yeyote katika maisha ya sasa, chamsingi endelea kumtambua tu huyu baba yako wa sasa , kwan unakitafuta ni kujiumiza roho tu, kwan ww mpaka umri huo umeishi vizur tu bila shida yeyote na kupata raha kutoka kwa baba mwingine, cha kukushuri fikiria tu huyo babu aliekwambia hizo story ni muongo na utendelea kuishi kwa furaha tu, ila unachokitafuta ni msongo wa mawazo tu usio na faida yeyote katika maisha haya ya sasa, ni hayo tu mkuu
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app