Sifahamu mimi ni nani

Sifahamu mimi ni nani

Mi wakati Mwingine napata ukakasi na majina tunayojiita humu forum....yanakuwa yana endesha Maisha yetu unconscious.... Labda jina hilo unalotumia Pharaoh linakupa Moyo mgumu kama farao wa Vitabu vya imani........mbane Mama lkn ukishakamilisha ucsahau kutupia matokeo yake ktk life yako.......Bad decision make awesome story for others to Understand World

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Men now that you have hints about your real father the thoughts of meeting him will not evaporate. The best thing to do is to find the old man secretly and meet him and his relatives thus getting to know your roots. Second do not divulge anything to your brother or else you will cause a great tumult that you wont be able to control. And lastly to the man who raised you as his own and never ever segregate you cozy you ain't his never let him know that you know that he isn't your real father.
 
It has just came out of a blue, i never thought i would bump with such kind of information before, now that everything is set before me, i can hardly pretend like i know nothing and stay muted, i just can't
Ok you can't now what do you intend to achieve anyway.Utaishia kuwa kama huyo aliyekuzaa utashindwa kulipa fadhila kwa huyo mlezi wako na utakwaruzana sana na mama yako.Take it from me ubaba ni zaidi ya kutia mimba.Hiyo DNA ya asili inakuwinda na itakuharibia but you can do whatever pleases ur heart.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada ni vizuri kujua wewe ni nani ila nakushauri sana usitumie njia ambayo itawaumiza wengine haswa mama yako na baba yako mlezi. Jaribu sana kutumia njia za kiintelijensia kama kusafiri na kwenda kijijini na kuongea na wazee watakupa tu ukweli wote na ukajielewa wewe ni nani. Ukishajua unaweza kuuchuna tu na kuukabili ukweli ulioupata. Ukileta ujuaji hapo utawaudhi sana walioku-adopt na kujinyima maisha yao yote ili uweze kufikia hivyo ulivyo. All in all endelea tu na majina yako ya sasa na pia kubali kabila la baba yako aliyeku adopt. Si lazima kujua historia ila anzia hapo ulipo uuanze kuandaa historia yako. Wamarekani weusi most of them hawajui asili yao ni wapi na wanaendelea na maisha bila wasiwasi na wamekubaliana na hali hiyo.
 
nivizur kujua baba yako halis na huyo mlez wako hakufanya fair kuchukua familia ya baba yako kisa yy ni mwanajesh? hata km kakulea vizur vip bd sio biological father na at tht time huwez jua baba yako alikua anapitia magum gan life ilikua tight may be na alijitahid akakosa sasa mama yako kashindwa uvumilivu na mlikua wadogo mjeda akawachukua hata baada ya kuchukuliawa bd baba yenu aliwafata angekuwa hana upendo na nyny angewapotezea na mahakaman asingeenda kwakuwa mzee alikua hana pesa na sio mjeda kesi akashindwa
mi nakushaur fanya upelelez baba yako yuko wap na km anashida msaidie bila huyo mjeda kujua maana anaweza kukupoteza

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Shukrani yako ni ipi kwa huyo unayemuita OLDMAN?

young man, pls think by reasoning...
Mwisho wa siku the Driver is nothing to you, he is just a sperm donor.
 
Haya, anzisha ukoo wako.
Sure u lucky, take it or leave it as Long as neno langu si sheria.
But, unachotaka kukijua ndio ujinga uliomo moyoni mwako, eti unataka ujijue kabila [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]what the hell a bout kabila? Wangapi tunajua kabila letu lakini halija saidia in any way katika maisha.
Anzisha kabila lako kama unajihisi hautendewi haki.
Lakini ni upuuzi...
It's okay then, i know we cannot use what we don't have.. May be this is the only advice that you could offer. Thanks anyway
 
Men now that you have hints about your real father the thoughts of meeting him will not evaporate. The best thing to do is to find the old man secretly and meet him and his relatives thus getting to know your roots. Second do not divulge anything to your brother or else you will cause a great tumult that you wont be able to control. And lastly to the man who raised you as his own and never ever segregate you cozy you ain't his never let him know that you know that he isn't your real father.
Okay Moshi thumb up
 
Mkuu katika maisha jifunze kitu kimoja, "sio lazima kujua kila kitu" utaishi kwa furaha na amani sana. Maana mpaka hapo naona huna sababu ya msingi ya kujua uasilia wako wala baba yako mzazi maana kama yeye hakuwapa msaada wowote wala ndugu zake mpaka mmekuwa, mmesoma na hakuonesha tena effort yoyote ya kuwatafuta baada ya kesi kipi ambacho kinakufanya usahau na kutaka kurudi nyuma. Ndugu usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi. Wazazi ulionao wana maana kubwa sana ya kuwaficha na nakuhakikishia ukiendelea kuhoji utaujua ukweli na utabadilisha maisha yako, msimamo wako na mitazamo yako wewe na ndugu zako. Na ndio itakuwa chanzo cha mifarakano na ipo siku utajutia hili. Mbona tuna vitu vingi tunataka kuhoji kuhusu Mungu lakini kwa imani tunanyamaza na maisha yanaenda vizuri tu. Potezea mkuu maadamu ushajua kaa nalo kimya. Maana hata ukijua haitakuwa kwa amani tena.
 
Unless unataka kutambika, lakini kama sivyo ukoo wala kabila will add nothing to you....!
 
Shukrani yako ni ipi kwa huyo unayemuita OLDMAN?

young man, pls think by reasoning...
Mwisho wa siku the Driver is nothing to you, he is just a sperm donor.
The oldman is my guardian and a father to my Young brother and sister, i can not thank him enough to repay him for what he has done so far, than respecting him us our parent, but as a thank giving i also have a plan to adopt a child who i can support academically until they reach the same level that i have reached ( university) and i hope God will help me
 
Unless unataka kutambika, lakini kama sivyo ukoo wala kabila will add nothing to you....!
Kwani tambiko hufanywa mtu akiwa na tatizo gani mkuu?
Kuna njia nyingine mbadala ya kutatua hilo tatizo ukiachana na tambiko?
Kama ipo ni ipi? Kama haipo natakiwa nifanye nini?
If there's a problem, it must be Solved i think though i'm not into these kind of traditional rituals but there's always a time to turn tables when necessary
 
mdogo wangu acha niachie mchango wangu kidoogo aisee.... hv huyo biological father wako angekuwa nawe ungefika hapo ulipofika? mtu ambaye alikutelekeza kwa mama yako ukaokolewa na mtu baki unamuhitaji wa nn? kabila ni kitu gani labda? hv hapo ulipofika unataka nn zaid ya kumshukuru Mungu kukupa baba wa kufikia km huyo aliyekujali?? why not usimshukuru mamako aliyepita pita akashughulika mpk akachukuliwa na babako wa kufikia na nyie juu km bonus ya mamako kupendwa!!!...

acha kuumiza kichwa, huenda ungeshakufilia mbali au ungekuwa teja km usingekutana na baba aliyekuthamini na kukupenda.

humu MMU kuna uzi ambayo sijui uliko ningeuweka hapa usome ukajifunza ..mmoja alisimulia alivyoachwa na baba yake aliyemzaa akapata mfadhili akasomeshwa akapatiwa kazi nzuri ndipo babake mzazi anajitokeza yule kijana alimkataa babake mzazi akamkubali babake mlezi na akasema ndiye atakayekuwa mzazi wake siku zote ktk maisha yake..

biological father wako hakuwa na upendo nawe toka ulivyozaliwa.
by the way umesema una kazi nzuri tuliza kichwa uje upate mke mwema ujenge familia, usirudi nyuma.
 
AF KUNA VIZEEEEEEEEEEEEEEEEE NUKSIIIIIIII!
sasa huyo oldman sijui old nini alikwambia ili kiwe nini?
SHUBHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMIT!
angenyamaza kimya akajifia ?
KUNA MAJITU mase............ge sana!
 
Kwani tambiko hufanywa mtu akiwa na tatizo gani mkuu?
Kuna njia nyingine mbadala ya kutatua hilo tatizo ukiachana na tambiko?
Kama ipo ni ipi? Kama haipo natakiwa nifanye nini?
If there's a problem, it must be Solved i think though i'm not into these kind of traditional rituals but there's always a time to turn tables when necessary
we naeeee hebu relax!
kwani unaonaje ukikuta hata huyo baba unayeambiwa ni babako akawa sio babako ?
utaendelea kutafuta!
WALA HUTAONGEZA SCHOCHOTE KWA KUMJUA HUYO UNAYEAMINISHWA NI BABAKO!
WAT IF HATA HUYO BABU ANAKUDANGANYA?

ona unavoanza kumwita huyo babako huyu mzee!
means unaanza kuondoa partenity yake!
kweli?
KWA YOTE ALIYOKUTENDEA AKIJUA WAZI NYIE SIO WANAE?
UNAJUA ALIKUKUTA KWENYE HALI GANI?

UNAJUA HATA HIKI KIINGLISH UNAANDIKA HAPA THISS POPA THIS WAT NI huyu baba ndo amekuwezesha?
WANADAMU TUNATAKA NINI YARRABI??
wenzio wapo wenye baba zao na wana uwezo hawakufikishwa hpo mlipofikishwa nyie!

baba asokujua wala usomjua leo ukiletewa unataka umchanje ndui?
halafu unadhani mamako anabaki kwenye nafasi gani?

kweli after all the things mmefanyiwa pamoja na kupewa baba mlipokosa baba,this ndio umeona sahihi kuanza kufeel like tht towards that baba,?
hebu fikiria tena!
FIKIRIA NA USEME NA MOYO WAKO KABISA KABISA!

UTAPOTEZA KILA KITU(SIMAANISHI MALI)
UTAPOTEZA KILA KITU AFTER HUKU UNAKOELEKEA!

na nikwambie tu!
U WILL EVENTUALLY LOOSE A FATHER WHILE YOU WILL BE SEARCHING FOR A FATHER WHO WILL BE LOST ANYWAY!
so JIANDAE KUPOTEZA BABA WAWILI!
 
umwtupiwa mawe mengi kweli..pole sana.....unataka kujua kitu usichokijua braza,,, ukija kujua utajuta kukijua.....huyo baba mlezi ndio baba yako hakika.....ila una haki ya kumfahamu baba yako......umemuamini kiasi gani yule babu kule kjjn? Bibi yako pia anaweza kukusaidia......anzisha uchunguzi mwenyewe kimya kimya bila kumbughudhi mamako,,, zungumza nae kwa unyenyekevu sana, ajue nia yako tuu.... ila elewa ushakuwa MANGI BANDIA.....ukiona chungu... mezea maisha yaende...
 
we naeeee hebu relax!
kwani unaonaje ukikuta hata huyo baba unayeambiwa ni babako akawa sio babako ?
utaendelea kutafuta!
WALA HUTAONGEZA SCHOCHOTE KWA KUMJUA HUYO UNAYEAMINISHWA NI BABAKO!
WAT IF HATA HUYO BABU ANAKUDANGANYA?

ona unavoanza kumwita huyo babako huyu mzee!
means unaanza kuondoa partenity yake!
kweli?
KWA YOTE ALIYOKUTENDEA AKIJUA WAZI NYIE SIO WANAE?
UNAJUA ALIKUKUTA KWENYE HALI GANI?

UNAJUA HATA HIKI KIINGLISH UNAANDIKA HAPA THISS POPA THIS WAT NI huyu baba ndo amekuwezesha?
WANADAMU TUNATAKA NINI YARRABI??
wenzio wapo wenye baba zao na wana uwezo hawakufikishwa hpo mlipofikishwa nyie!

baba asokujua wala usomjua leo ukiletewa unataka umchanje ndui?
halafu unadhani mamako anabaki kwenye nafasi gani?

kweli after all the things mmefanyiwa pamoja na kupewa baba mlipokosa baba,this ndio umeona sahihi kuanza kufeel like tht towards that baba,?
hebu fikiria tena!
FIKIRIA NA USEME NA MOYO WAKO KABISA KABISA!

UTAPOTEZA KILA KITU(SIMAANISHI MALI)
UTAPOTEZA KILA KITU AFTER HUKU UNAKOELEKEA!

na nikwambie tu!
U WILL EVENTUALLY LOOSE A FATHER WHILE YOU WILL BE SEARCHING FOR A FATHER WHO WILL BE LOST ANYWAY!
so JIANDAE KUPOTEZA BABA WAWILI!
But God,like father like son! Nani anajua tabia ya mama yako huko nyuma?nakuunga mkono kiongozi yawezekana hata mama hajui baba ni yupi amekaza kumuuliza tu show me my dad,wakati hamjui.Badala ushukuru una huyo aliyepo eti anataka kujua zaidi michepuko ya mama.Aah akili ni nywele bana.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
In another language huyo mtoa habari wako huyo alikuwa anakudhalilisha,anakutangazia (umalaya) samahani wa mama yako.Siku nyingine kama ni mimi nikikutana naye namtia ngeta za form six!namwambia asinikaribie tena.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom