Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Not simple like that my friend usije danganywa unaweza frustuate ukiingia kawaida jeshi lolote lazima uende depo what ever elimu uliokuwa nayo kule mtajumuika wote kwa pamoja baada ya hapo mtapangiwa vituo vya kazi then kule utakapopangiwa ndiyo process za kuomba kwenda kusomea uafsa zinafuatia usishangae unakaa mpaka three years bila kwenda maana nako inategemea fungu na idadi ya watu kuna kujuana vilevile.Mshahara kuna jamaa yangu ana experience police yupo makao makuu na ana masters ana nyota tatu analipwa 1.1 mill sasa jikadirie wewe ukiwa na degree alafu huna experience utalipwa ngapi?Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
Wewe unataka kuleta uchochezi jeshini, utafunguliwa jalada sasa hivi!Kwa kuongezea,watusaidie ku2ambia na viwango vya mshahara wanavyo lipwa!
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
Ndugu yangu kama hujui kitu bora usiongee, hilo jeshi unalomaliza mafunzo unapata nyota 3 (Captain) ni la wapi? hata la Idd Amini halikuwa hivyo!!
ukimaliza form 6 au Bachelor unaingia mafunzo miezi sita..(kama sijakosea) na ukimaliza unapata nyota moja then from there utapanda kutokana na utendaji wako na mafunzo.....
Not simple like that my friend usije danganywa unaweza frustuate ukiingia kawaida jeshi lolote lazima uende depo what ever elimu uliokuwa nayo kule mtajumuika wote kwa pamoja baada ya hapo mtapangiwa vituo vya kazi then kule utakapopangiwa ndiyo process za kuomba kwenda kusomea uafsa zinafuatia usishangae unakaa mpaka three years bila kwenda maana nako inategemea fungu na idadi ya watu kuna kujuana vilevile.Mshahara kuna jamaa yangu ana experience police yupo makao makuu na ana masters ana nyota tatu analipwa 1.1 mill sasa jikadirie wewe ukiwa na degree alafu huna experience utalipwa ngapi?
ww senetor acha kuwa limbukeni wa vyeo na mishahara, hizi kazi ni za wito na zihitaji ujitoe kutoka moyoni usione tu watu(jwtz) wanavaa nyota ukadhani wameenda seminar kama wapolice. Hizi za jwtz anayekuja kuzitoa ni presda mwenyewe na si mtu mwingine kama police. kwahiyo jitume sana na usikate tamaa katika safari yako ya kuusubiri uofisa.
Si kweli hata kidogo.Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu