Sifa za wenye form six, technician certificate,diploma,degree polisi na jeshini wana vyeo gani

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
wadau napenda kujua kwa yeyote anaefahamu ya kwamba mtu mwenye degree akienda jeshini na polisi ana cheo gani
mtu mwenye technician certificate anakuwa na cheo gani,mtu mwenye form six ana cheo gani
na mwisho mtu mwenye diploma anakuwa sifa gani nisaidieni..........ili nifahamu
 
Kwa kuongezea,watusaidie ku2ambia na viwango vya mshahara wanavyo lipwa!
 
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
 
Not simple like that my friend usije danganywa unaweza frustuate ukiingia kawaida jeshi lolote lazima uende depo what ever elimu uliokuwa nayo kule mtajumuika wote kwa pamoja baada ya hapo mtapangiwa vituo vya kazi then kule utakapopangiwa ndiyo process za kuomba kwenda kusomea uafsa zinafuatia usishangae unakaa mpaka three years bila kwenda maana nako inategemea fungu na idadi ya watu kuna kujuana vilevile.Mshahara kuna jamaa yangu ana experience police yupo makao makuu na ana masters ana nyota tatu analipwa 1.1 mill sasa jikadirie wewe ukiwa na degree alafu huna experience utalipwa ngapi?
 
nyota 2 kwa mwenye degree JWTZ (luteni) na 4m 6 nyota 1 (luteni usu)
huko polisi sijui.
 
Tuna safari ndefu sana. Watu mko bize na vyeo na mishahara, hivi ndio mlichosomea? Hapa JF sijawahi kuona mtu akiuliza majukumu, ni mshahara na vyeo tu. Na wasi wasi wangu ni kuwa, kazi hamjui; mna vyeti na illusions za kuwa watu fulani. Maisha hayaanzii kwenye mfuko nyie watoto
 
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu

Ndugu yangu kama hujui kitu bora usiongee, hilo jeshi unalomaliza mafunzo unapata nyota 3 (Captain) ni la wapi? hata la Idd Amini halikuwa hivyo!!

ukimaliza form 6 au Bachelor unaingia mafunzo miezi sita..(kama sijakosea) na ukimaliza unapata nyota moja then from there utapanda kutokana na utendaji wako na mafunzo.....
 
Asante kwa challenge na kweli nilieleza awali nikosolewa panapobidi
 
Not simple like that my friend usije danganywa unaweza frustuate ukiingia kawaida jeshi lolote lazima uende depo what ever elimu uliokuwa nayo kule mtajumuika wote kwa pamoja baada ya hapo mtapangiwa vituo vya kazi then kule utakapopangiwa ndiyo process za kuomba kwenda kusomea uafsa zinafuatia usishangae unakaa mpaka three years bila kwenda maana nako inategemea fungu na idadi ya watu kuna kujuana vilevile.Mshahara kuna jamaa yangu ana experience police yupo makao makuu na ana masters ana nyota tatu analipwa 1.1 mill sasa jikadirie wewe ukiwa na degree alafu huna experience utalipwa ngapi?

Maelezo ya juu umeeleza vizuri kiasi lakn kumbuka cjazungumzia habari ya Police
 
Jaman,me niambien mwenye shahada moja ya let say bcom-finance,akiingia huko jwtz,anatupwa kitengo gan,majukumu yake ni yapi,cheo gan anaanza nacho,mshahara wake pamoja na posho!over
 
ww senetor acha kuwa limbukeni wa vyeo na mishahara, hizi kazi ni za wito na zihitaji ujitoe kutoka moyoni usione tu watu(jwtz) wanavaa nyota ukadhani wameenda seminar kama wapolice. Hizi za jwtz anayekuja kuzitoa ni presda mwenyewe na si mtu mwingine kama police. kwahiyo jitume sana na usikate tamaa katika safari yako ya kuusubiri uofisa.
 
kwa hyo unataka kunambia,naweza nkastaafu hata bila kupewa mbavu mbili ncpoj2ma?
 
frakly mnasaidia sana kuelimisha watu. wahenga wanasema mwanagu kulonda kazi ya jeshi ugangamale. kaka kama utaingia jeshin uwe na uvumilivu then usitangulize kuwa mimi nina elimu. utapata shida. jeshin kuwa kama huna elimu nenda kafanye kazi usiende kutafuta cheo .hutapata .na utateseka sana. bwana mmoja akatoka na elimu yake kwenda kuwatambia akataka cheo coz ye ana elimu nzuri kuliko mkubwa wa wa hicho kituo. wakampeleka huko ndan sana kwenye kambi za usweken then kazi ambayo alipewa ni kushinda tu ofisin akisoma mafail ya watu na magazeti.soon akawa frustrated ukimwona leo hutataman hata kuamin msomi mzur wa uchumi/ so kuwa na na bidii na usitake vyeo.ila nenda soma kila kozi vzur na uwe na bidii na utii .
 
Majority wanalipwa hela mbuzi jeshini, ila utaambulia kunywa bia za bei rahisi na kuishia kustaafu na kukaa vijiweni ukijisifu wewe ni mwanajeshi mstaafu ili upewe bia. Kipindi hicho huna hata kumi! Its pathetic mind kuendelea kusema jeshi ni wito! Jeshi ni wito wa namna gani? Unaona mafisadi wanavyoangamiza taifa?
 
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
Si kweli hata kidogo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom