Sifa za wenye form six, technician certificate,diploma,degree polisi na jeshini wana vyeo gani

Maelezo ya juu umeeleza vizuri kiasi lakn kumbuka cjazungumzia habari ya Police
Mleta mada amelitaja jeshi la police wewe ni mchangiaji kwenye mchango wako wa kwanza umechangia lakini hujasema unazungumzia jeshi gani mara nyingi tunachangia kutokana na mada iliyoletwa na mtoa mada
 
Mkuu Mkoba lengo ni kuelekezana tuu kwa hyo halina tatizo kwani limeeleweka
 
ww senetor acha kuwa limbukeni wa vyeo na mishahara, hizi kazi ni za wito na zihitaji ujitoe kutoka moyoni usione tu watu(jwtz) wanavaa nyota ukadhani wameenda seminar kama wapolice. Hizi za jwtz anayekuja kuzitoa ni presda mwenyewe na si mtu mwingine kama police. kwahiyo jitume sana na usikate tamaa katika safari yako ya kuusubiri uofisa.

Acha misifa ya kitoto na ulimbukeni wewe. Rais mbona hutoa vyeti hata mahafali ya chekechea.....
 
Asante kwa challenge na kweli nilieleza awali nikosolewa panapobidi

ukimaliza depo kwa mtu mwenye degree unapewa nyota moja after 3 year...lakin hata kabla ujapewa nyota unakuwa unalipwa mshahara wa mtu mwenye degree..ambao ni laki 5 na posho lak mbili na nusu
 
Nadhanin wana jf ndio mana jeshi linapoteza mwelekeo, watu wanajadili pesa, jeshini hakuna pesa na kazi kama kazi nyingine, cha msingi ni uzalendo mana kuna siku utaambiwa mshahara hakuna, jeshini hakuna maandamano, inabidi utulie mpaka utakapoambiwa vinginevyo, sasa enyi kzazi cha maandamano mtaweza hayo.
 
Ndugu yangu kama hujui kitu bora usiongee, hilo jeshi unalomaliza mafunzo unapata nyota 3 (Captain) ni la wapi? hata la Idd Amini halikuwa hivyo!!

ukimaliza form 6 au Bachelor unaingia mafunzo miezi sita..(kama sijakosea) na ukimaliza unapata nyota moja then from there utapanda kutokana na utendaji wako na mafunzo.....

No wenye degree wanapata nyota 2 kabla hata ya kwenda kuanza kazi! Bt kwny mafunzo,cjui ndo inaitwa depo,wote mnaenda haijalishi una degree/form 6,4/diploma...bt kwny nyota mnatofautiana according 2 elim...cjui kwa police inakuaje
 
Usibahatishe bibie,kupata nafasi ya jeshi hasa kwa graduates kwa sasa siyo kitu rahisi kama unavyofikiri.Tanzania ni ngumu sana,siku zinavyokwenda lazima mtatamani kuwa migambo na nafasi zitakuwa ngumu sana kupatikana.Kilimo kwanza mtakikubali tu.
 
Napenda kujua ukimaliza form6 ukaenda jeshi baada ya ajira inachukua mda gan kuletwa kwa baadhi ya kozi za kwenda chuo mfano udakitari???
 
Not simple like that my friend usije danganywa unaweza frustuate ukiingia kawaida jeshi lolote lazima uende depo what ever elimu uliokuwa nayo kule mtajumuika wote kwa pamoja baada ya hapo mtapangiwa vituo vya kazi then kule utakapopangiwa ndiyo process za kuomba kwenda kusomea uafsa zinafuatia usishangae unakaa mpaka three years bila kwenda
nakubaliana na wewe kuna jamaa pia nimemfahamu akiwa ni private kwa karibu miaka mitatu akaenda kozi aliporudi karudi na vile vipembe nne mshazali viwili sijui ndo kanali
 
Hilo
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
litakuwa jeshi la congo.
 
No wenye degree wanapata nyota 2 kabla hata ya kwenda kuanza kazi! Bt kwny mafunzo,cjui ndo inaitwa depo,wote mnaenda haijalishi una degree/form 6,4/diploma...bt kwny nyota mnatofautiana according 2 elim...cjui kwa police inakuaje
Hilo siyo jeshi la Tanzania labda. Maelezo aliyoyatoa bushbaby ni sahihi kabisa. ukishatoka mafunzo ukiwa form six au degree ni nyota moja. Hakuna jeshi linalotoa nyota mbili kwa mpigo. Baada ya hapo utapanda kulingana na mafunzo au utendaji wako wa kazi.
 
Da kazi ipo kwa sie vijana,nikiwa ni mhanga wa hili tatizo la ajira nmeckia kwamba kwa mtu ambae ana Degree ukimaliza tuu mafunzo nmeambiwa unapewa nyota 3 on the spot then kwa issue ya Salary kwa dgree holder 1.2mil,kama alienipa maelezo yupo wrong naomba nisahihishwe kwa wajuao ila kwa sifa zingine cfahamu wakuu
Sio kweli
 
ukimaliza depo kwa mtu mwenye degree unapewa nyota moja after 3 year...lakin hata kabla ujapewa nyota unakuwa unalipwa mshahara wa mtu mwenye degree..ambao ni laki 5 na posho lak mbili na nusu
Usidanganye watu kijana hiyo pesa unayoitaja wala sio sahihi hakuna lesheni ya lakibmbili kwa tanzania. Hii kwa majeshi yote uyajuayo anzia jwtz mpaka fire kama hujui kaa kimya ila. Waujuao mfumo huo watakua mashahidi wa nini ninachokisema kila lakheri BABA LIZONE kwa kuboresha malipo ya askari wote Tanzania
 
Tuna safari ndefu sana. Watu mko bize na vyeo na mishahara, hivi ndio mlichosomea? Hapa JF sijawahi kuona mtu akiuliza majukumu, ni mshahara na vyeo tu. Na wasi wasi wangu ni kuwa, kazi hamjui; mna vyeti na illusions za kuwa watu fulani. Maisha hayaanzii kwenye mfuko nyie watoto
Exactly
 
hivi kanali unamjua au unamsikia tu?yani mtu atoke uprivate hadi ukanali..au unazungumzia kanali wa jeshi la wokovu?
na ndio maana nimetolea mfano halisi kwa muonekano mm si mjuvi wa hizo mambo mkuu wanao faham wameelewa!
 
Mkuu usijidanganye jeshi degree ni nyota 2 ila kupata nafasi kwenda kozi kwa sasa ni ishu sio kirahisi
 
Back
Top Bottom