Sifa za wenye form six, technician certificate,diploma,degree polisi na jeshini wana vyeo gani

Ndugu yangu kama hujui kitu bora usiongee, hilo jeshi unalomaliza mafunzo unapata nyota 3 (Captain) ni la wapi? hata la Idd Amini halikuwa hivyo!!

ukimaliza form 6 au Bachelor unaingia mafunzo miezi sita..(kama sijakosea) na ukimaliza unapata nyota moja then from there utapanda kutokana na utendaji wako na mafunzo.....
mafunzo ni mwaka mmoja jwtz
 
Hehehee nchi ya viwanda wasomi wanakimbilia jeshi..subirini ajira..kuna ndege znakuja..treni inaanza...toyota inajenga kiwanda..endeleeni kusubir
 
Back
Top Bottom