sifa za wanawake wa Kinyiramba

sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.
Nimepata maono kuwa kuna mwanakondoo anayeshuhudia,hahaha hizo pande sizijui nilidhani pande za mugumu mpaka fort kuna mixture ya wanyiramba na waikoma..lol

Ha ha haaaaa. Mwanakondoo amekatisha ushuhuda!
Hebu tupe uzoefu wako mtumishi.
 
Siku fikiri kama katika zama hizi za maingiliano makubwa ya watu na tamaduni ambazo hutofautiana labda katika level ya nchi bado watu mna-rudi katika level ya kabila kumjudge mtu. Nadhani ni personality ya mtu na jinsi alivyo kuliko kabila lake hata kama kabila atokalo hawavai nguo hizo ni historia la kabila lakini halina uhusiano na mtu binafsi...
 
Ukimkuna atakusifia kuwa wewe unajua ile shughuli! Ila hilo la kuwa karimu ni sehemu ya maisha yao.
 
...Zinatofautiana sana kutokana na malezi yao, elimu yao, mtazamo wao katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Kama umeridhika naye kiasi cha kuamua kufunga pingu za maisha basi weye endelea tu na matayarisho. Kila la heri.
Asante ndugu
 
Asanteni kwa michango yenu ndugu. Namshukuru mungu nimeridhika na mke wangu mambo mengine tutarekibishana as we go along. Hakuna mwanadamu aliyekamilika
 
wale ni matrilineal. kwa hiyo tabia yao ni kumtawala mwanaume. wao lazima wawe na sauti katika nyumba na familia. mzee lazima uwe chini yake. akikuchoka anakutema kwani yeye ndiye "kakuoa." watoto mliozaa pamoja si wa kwako (japo kidamu ni wa kwako) bali ni wa wajomba (yaani kaka za mkeo huyo). hivyo kukitokea mfarakano na mkeo watoto wanakaa upande wa mama na wajjomba zao. we unabaki peke yako unang'aa macho. ukizeeka usitegemee sana huruma yao kwani zaidi wanamwangalia mama na wajomba zao siyo wewe baba yao wa damu. Kazi kwako mkuu! msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
NA huu ndiyo uchugu mtamu
 
mkuu hao watu ni c.h.u.p.i mkononi kama wahaya,warangi,wasambaa na wazaramo.believe it
Hivi ni kabila gani hapa Tanzania hawavui chupi? Hizi imani potofu zinawapoteza sana .msipende kugenerolaizi tabia kila mtu ana tabia yake.tutajie na wanaume wa kabila gani wanavua chupi sana.
 
Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
 
Duuuuu,kule kwetu unatakiwa usiwe na wivu kabsaa,yaan hainaga ushemeji,si tunakulanaga tu.

Cha msingi,fatilia tabia ya familia yao,ukiona familia haina msimamo ktk masuala ya mahusiano bas ujue hata binti nae atakuwa hajatulia

Akili zetu wanyiramba bwana,tunawezanaga sisi mwenyewe tu
 
Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
Deal na demu wako sio na kabila la demu wako wewe mlugaluga!
Au hujui siku hizi watu wengine hata makabila yao hawajui?sidhani kama wanyiramba ni watu ovyo la msingi deal na personality ya mtu sio asili ya mtu ,wengine tumeoa familia za vigagu na maisha mswano tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom