sifa za wanawake wa Kinyiramba

sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.
Ni warembo,wakipenda wanapenda kweli,ila wanapenda sana mchezo wa kitandani.Ukiwa nae hata sikunzima hachoki,sasa ndugu kama huna nguvu zakutosha ndio inageuka upande wapili anaonekana Malaya lakini sivyo nivile wanapenda sex sana .Akipata anaye jimudu hatomsaliti Anatulia.Sifa nyingine wao hawakeketwi kama wanyaturu.

Mimi ninae wakwangu...mtamu balaaaa
 
Jamani watamu, ila mkumbuke Sana hakunaga ushemeji, ukae mkao wa kulijua na jifanye kama hukuona vile
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkigombana hawajui kunyamaza na kuomba msamaha kila siku majirani watakuwa wanazima redio kuwasikiliza nyinyi mnavyozozana, ukimfokea ukiwa una rap naye at a rap kwa mistari isiyo na vituo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
Baba yangu alidumu kwenye ndoa na mwanamke wa kinyiramba kwa zaidi ya miaka 30 mpaka umauti unamkuta. So I hope they are good people to settle with...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom