sifa za wanawake wa Kinyiramba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sifa za wanawake wa Kinyiramba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rukwa21, Sep 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. R

  Rukwa21 Senior Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanajamiiforum naomba sifa za wanawake wa Kinyiramba nataka kuo huko

  ===================================================

  Black Angel
  Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba. Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,913
  Likes Received: 6,281
  Trophy Points: 280
  weupe wasiojua kiswahili vizuri!!....kidding!!
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ni wakarimu saaana; ila jiandae na bill ya nyama kila siku
   
 4. R

  Rukwa21 Senior Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  unaposema ukarimu sanaa una maana gani kuna ukarimu wa aina nyingi. Nyama hiyo haina shida
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 65,925
  Likes Received: 68,527
  Trophy Points: 280
  ...Zinatofautiana sana kutokana na malezi yao, elimu yao, mtazamo wao katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Kama umeridhika naye kiasi cha kuamua kufunga pingu za maisha basi weye endelea tu na matayarisho. Kila la heri.
   
 6. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Fatilia, you 'll understand what I mean.
   
 7. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  wame-gotolwa.
   
 8. A

  Ados Senior Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wapenda kutawala wanaume ni wabishi fatili kwa makini
   
 9. p

  pilau JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,524
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wanyiramba kama unamfahamu mnyiramba yoyote muulize lakini Mh. Mwigulu Nchemba anawafahamu sana ni dada zake
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,737
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  mkuu hao watu ni c.h.u.p.i mkononi kama wahaya,warangi,wasambaa na wazaramo.believe it
   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni watamu balaa..
  Source: mimi mwenyewe
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 17,699
  Likes Received: 10,505
  Trophy Points: 280
  Watakutisha kwa kila aina ya neno la kukatisha tamaa,
  nikuambie kidogo, usiwe mvivu kunako 6x6, failier to that utampa upper say ndani kwako which will apear kama kutawaliwa na my wife wako.

  Element za ujeuri wanazo hasa ikiwa mtihani wa kwanza utapata maks za chini, ni wachapa kazi kwa wastani, ni walezi wazuri, uaminifu wa ndoa utautengeneza wewe mwenyewe. They are very sweet in bed (hili sikwambii saaana kwani wewe kwisajua)

  Najua unapenda kujua kuhusu juju a.k.a Usangoma, hiyo ni ingredient muhimu kukamilisha na kudumisha mila, ingawa inatofautiana kutoka sehemu moja na nyengine.

  Hawapendi ukewenza, ujiepushe na nyumba ndogo ama la sivyo utaharibikiwa mazima. Naweza kukupa zaidi, nikwambie jambo moja nalo ulizingatie, wanawake wa kinyiramba wanakuwa wake bora, wamama bora sana ukilinganisha na wanawake wa makabila mengine.

  Nimewapigia promo la ukweli, kazi kwao wanyiraaaa.
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 17,699
  Likes Received: 10,505
  Trophy Points: 280
  utafiti wako ni mdogo kukupelekea kutoa majibu haya.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 145
  Mnyiramba akikudondokea anakudondokea mazima.
  Kitu kingine muhimu sana wanapenda sana mchezo wa 6*6 sasa ukiwa mchovu ni hatari kwako lakini ukiwa fundi basi atakuganda kama luba!
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Aisee! hivi fort ikoma kuna wanyiramba?
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 145
  Mtumishi umepotea njia hapa sio mlimani. Tunao wanyiramba wakurya, unafahamu sehemu inaitwa Iramba pande za Ngoreme?
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimepata maono kuwa kuna mwanakondoo anayeshuhudia,hahaha hizo pande sizijui nilidhani pande za mugumu mpaka fort kuna mixture ya wanyiramba na waikoma..lol
   
 18. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,400
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ..Tata Mang'ana...
   
 19. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni wanawake kama wa makabila mengine.
   
 20. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,126
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Wakarimu kote kote! Ila jamaa ajiandae kufuga mbwa!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...