sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mnyiramba nimechanganya na mmasai yaani mzazi mmoja ni mnyiramba mwingine ni mmasai sasa ngoja nikupe sifa zangu then wadau watakusaidia kuchambua kupata zipi ni za mnyiramba na wataacha za wamasai pembeni
-Nina hasira za haraka sana yaani ukiniudhi kidogo tu nachukia lakin hasira zangu huwa hazidumu kwa muda mrefu yaani unaweza ukaniudhi asubuhi baada ya dakika 30 au 40 tukawa tunacheka,,,na hata ukinikosea kosa kubwa na usiniombe msamaha basi kuna kipindi huwa hata nasahau kama tulishawahi kugombana au naweza kukumbuka kuwa tuliwahi kugombana lakin nisikumbuke tuligombana kwa sababu gani.
-Napenda sana nyama,,yaani ukiniwekea nyama na misosi mingine hata iwe mizuri vipi nichague lazima ntachagua nyama
-Nikimpenda mtu nampenda sana hadi kupitiliza na hata tukiachana huwa nachukua muda mrefu kuanzisha uhusiano mwingine
-Napenda nikiwa na mpenzi wangu tufanye sex hata siku nzima kama tupo free like weekend au holidays,,,yaani sichoki wala kukinai kufanya sex but ukiwa hupendi kufanya hapo ndo tutaanza kutofautiana
-Napenda kusikilizwa na nikikuambia sitaki tabia fulani au sitaki ufanye kitu fulani basi uache kweli,,,yaani i have the ruling spirit na most of relation zangu mimi ndo huwa na sauti ya kufanya maamuzi
-Napenda sana maisha mazuri kwaiyo napenda kutafuta pesa,,pia huwa naona aibu kuomba hela kwa mtu yoyote awe ndugu au mpenzi hata kukopa kwa mtu siwezi kwaiyo hata kama nina shida nakufa nayo moyoni ila ukinipa hela nachukua sikatai
-Huwa sipendi mtu kwa kuangalia personality like mali zake au sura yake but mtu anaenijali na kunipenda huyo ndio huwa nampenda kwa dhati
-Nikichukia nina majibu ya short cut na ya kukera sana unaweza hata ukanikata shingo nikikupa jibu moja
-Sipendi kuwa karibu na watu especially marafiki wa kike au majirani napenda kujitenga tu.Yaani ndugu zangu na boyfriend ninayekua naye ndo anakua rafiki yangunkwa muda huo
-Sina spirit of sharing,,,yaani sipendi kushea chochote na mtu so hata kama ukiwa na shida usitegemee ukiniomba hela ntakupa labda mama yangu tu na baadhi ya watu wangu wa karibu yaani nina tabia ya uchoyo kwa watu wasionihusu ila ndugu zangu na watu wangu wa karibu hakuna shida
-I only decide once yaaani huwa nafanya maamuzi mara moja tu na sijali kama yana madhara au hayana,,mfano nikisema kuanzia leo sikutaki basi sikutaki kweli na nikisema kuanzia leo sitakwenda sehemu fulani basi ndo ishapita hiyo,sina maamuzi ya kubadilika badilika yaani msimamo wangu huwa ni mmoja tu hata unishauri vipi siwezi kubadilisha maamuzi
-Nina huruma hata kwa watu ambao siwajui kwa mfano hata kama watu wanapiga mwizi mimi siwezi kumpiga na ntaanza kumtetea mumsamehe
Zingine nimezisahau
Sasa hapo sijui zipi ni tabia za wanyiramba na zipi ni za wamasai maana mimi nimemix makabila
Miss Jay naweza kukununulia dinner!?
 
Mkuu wanyiramba nimeishi nao wengi na nawajua vzr ila nikikuelezea tabia zao utakata tamaa za kuoa bure

Cha msingi muangalie unayetaka kumuoa je ana vigezo unavyotaka wewe?, kama ndio chukua. Sometimes kabila linaweza kuwa na tabia nyingi sio nzuri ila tabia inaweza kutokana na malezi na mazingira aliyokulia muhusika bila kuhusisha za kabila lake. Kwa hiyo maamuzi unayo wewe
habari ndio hiyo
 
mie ni mnyiramba mchanganyiko na kabila moja nyanda za juu kusini sifa zangu baadh ni

1.upendo wa dhati kwa..nikipenda huwa siangalii hali ya mtu kiuchumi maadam tuelewane na kuridhiana inatosha

2.huwa sipendi kuendeshwa katika mapenzi hivo nikijua kuwa unanizingua kukuacha na sekunde sisubili uniache na hii ndio inafanya watu watuone malaya lakini si kweli

3.wakarimu sana tena sana pia walezi wazuri wa familia pasipo matabak roho mbaya hatujajaaliwa

4.najitoa sana kwa maan kwamba mtu nikimfaham au awe jirani nami moyo wa kujitoa ninejaaliwa

5.nina hasira sana japo hazidumu kwa mda mrefu huwa siwezi kutunza hasira moyoni nikiudhiwa basi baada ya mda mfupi inaisha.

6.nina maamuzi ya haraka nikikasirika na nikisema noo ni noo sitaki kupingwa wala kuingiliwa katika maamuzi yangu

7.kwa usafi mashalaah nimejaaliwa si wa mwili tu namaanisha mavazi, ndani, mwili n.k

8.ni binti ninayejituma san katika kazi sababu sipendi kuomba na kuwa tegemezi nikikwam zaidi basi watahusika wazazi si kuombaomba hovyo

9.kuhusu mapishi yote nasifiwa kiukweli ya chakula na upande wa pili

10. ninaweza kuishi sehemu yoyote kwa mazingira yoyote sbb namuheshimu kila mmoja lakini kubwa nijivunialo tamaa za kijinga sina naridhika na hali yangu au ya mwenza wangu kwa wakati huo...lakini wivu wa maendeleo ninao sana

zaidi nomba mjazie na km kuna zingine mnahisi sio za wanyiramba basi nitakuwa nimepat upande wapili
 
Nmejikuta nakuwa impressed na sifa hizi, ndo maana ikawepo blind date thing
 
Umeshaolewa?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom