sifa za wanawake wa Kinyiramba

sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.
Duuuuu,kule kwetu unatakiwa usiwe na wivu kabsaa,yaan hainaga ushemeji,si tunakulanaga tu.

Cha msingi,fatilia tabia ya familia yao,ukiona familia haina msimamo ktk masuala ya mahusiano bas ujue hata binti nae atakuwa hajatulia

Akili zetu wanyiramba bwana,tunawezanaga sisi mwenyewe tu
Sina la kuongeza.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Deal na demu wako sio na kabila la demu wako wewe mlugaluga!
Au hujui siku hizi watu wengine hata makabila yao hawajui?sidhani kama wanyiramba ni watu ovyo la msingi deal na personality ya mtu sio asili ya mtu ,wengine tumeoa familia za vigagu na maisha mswano tu!
Weeeeeeeee.mpoteze tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
Wagomvi afu wababe
 
Wanasemaga wahaya wanapendaga kale kamchezo ila kuna hilo kabila unalo uliza nalo ni shiiiidddddaaa. Ukweli ni kwamba hawakataaaggggiiiiii.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Duuuuu,kule kwetu unatakiwa usiwe na wivu kabsaa,yaan hainaga ushemeji,si tunakulanaga tu.

Cha msingi,fatilia tabia ya familia yao,ukiona familia haina msimamo ktk masuala ya mahusiano bas ujue hata binti nae atakuwa hajatulia

Akili zetu wanyiramba bwana,tunawezanaga sisi mwenyewe tu
Bora umemwambia ukweli
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hamna ndo ukweli.
nilikuwa na mnyaturu,shughuli niliiona.
Wanyiramba nawaona tabia zao hapa mtaani

Kwa kuumbika haki ya Mungu utajiona Umepata Bonge la Mwanamke aiseee yatakayoendelea badaye utakuja kujiona bonge la Bwege hata rafiki yako ambaye unajua ni bonge la domo zege atakuchapia tena mkipishana dakika Moja.

Hata wazazi wao wanawabariki kwa hayo matendo na usije ukaenda kulalamika kwa familia yao kuwa Mke wangu nimemfumania Utajuta kupata Majibu hayo.

Mfano halisi na Usiojificha ni Wema Sepetu.....

Ogopa Wanyaturu, Warangi, Wanyeramba. Kwa Kuwa Umeomba Ushauri nimefuatilia waliochangia hakuna aliye mungunya maneno huo ndio ukweli Niulizeni Mimi na Ndugu Zako.......
 
Hamna ndo ukweli.
nilikuwa na mnyaturu,shughuli niliiona.
Wanyiramba nawaona tabia zao hapa mtaani

Kumbuka Pia hii haina la Amesoma au hajasoma Wote ni mle mle ila ukitaka kuendelea we endelea ila huo ndio ukweli.
 
MAJORITY WANA HIZI TABIA...
>>wabishi/wajeuri kama hupigi vzuri mashine.
>>wanapenda game angalau ujitahidi kila siku upime japo vibaba viwili
>>wanapenda wawe na sauti kwenye nyumba kuzidi mwanaume. Matrilinear society ndo maana sometimes limbwata litahusika mwanaume ukiwa mwongeaj sana
>>kuachana ni ishu ndogo tu kwao
>>wanapenda uhuru na sio kubanwabanwa.
>>hawakeketwi kama wanyaturu
>>hawaui wanaume mkipata mali kama wanyaturu
>>kama utahitaji asimamie biashara zako utafeli sababu ni viburi
>>ni walezi wazuri ila watoto si mali yako. Kupata huduma kutoka kwa wanao ukizeeka ni probability
>>ni wakarimu
>>ni wavumilivu wakipata wanavyovitaka kwenye ndoa

NOTE:kama unapenda kuoa mnyiramba basi tafiti ujue aina ya familia anayotoka kwasababu si maxingira tu yenye impact kwenye tabia bali hata malezi pia.
Na pia kama ukiamua kuoa basi uwe na nishati ya kutosha ya kamchezo na maisha ya kueleweka ili usigongewe.
NITAREJEA KAMA KUNA SWALI.
 
Humu kama wamo wengi maake kuna wanaoshabahiana na sifa hizi kutokana na michango yao mingi.. Ngoja tusubirie tuone/.
 
Mimi ni mnyiramba nimechanganya na mmasai yaani mzazi mmoja ni mnyiramba mwingine ni mmasai sasa ngoja nikupe sifa zangu then wadau watakusaidia kuchambua kupata zipi ni za mnyiramba na wataacha za wamasai pembeni
-Nina hasira za haraka sana yaani ukiniudhi kidogo tu nachukia lakin hasira zangu huwa hazidumu kwa muda mrefu yaani unaweza ukaniudhi asubuhi baada ya dakika 30 au 40 tukawa tunacheka,,,na hata ukinikosea kosa kubwa na usiniombe msamaha basi kuna kipindi huwa hata nasahau kama tulishawahi kugombana au naweza kukumbuka kuwa tuliwahi kugombana lakin nisikumbuke tuligombana kwa sababu gani.
-Napenda sana nyama,,yaani ukiniwekea nyama na misosi mingine hata iwe mizuri vipi nichague lazima ntachagua nyama
-Nikimpenda mtu nampenda sana hadi kupitiliza na hata tukiachana huwa nachukua muda mrefu kuanzisha uhusiano mwingine
-Napenda nikiwa na mpenzi wangu tufanye sex hata siku nzima kama tupo free like weekend au holidays,,,yaani sichoki wala kukinai kufanya sex but ukiwa hupendi kufanya hapo ndo tutaanza kutofautiana
-Napenda kusikilizwa na nikikuambia sitaki tabia fulani au sitaki ufanye kitu fulani basi uache kweli,,,yaani i have the ruling spirit na most of relation zangu mimi ndo huwa na sauti ya kufanya maamuzi
-Napenda sana maisha mazuri kwaiyo napenda kutafuta pesa,,pia huwa naona aibu kuomba hela kwa mtu yoyote awe ndugu au mpenzi hata kukopa kwa mtu siwezi kwaiyo hata kama nina shida nakufa nayo moyoni ila ukinipa hela nachukua sikatai
-Huwa sipendi mtu kwa kuangalia personality like mali zake au sura yake but mtu anaenijali na kunipenda huyo ndio huwa nampenda kwa dhati
-Nikichukia nina majibu ya short cut na ya kukera sana unaweza hata ukanikata shingo nikikupa jibu moja
-Sipendi kuwa karibu na watu especially marafiki wa kike au majirani napenda kujitenga tu.Yaani ndugu zangu na boyfriend ninayekua naye ndo anakua rafiki yangunkwa muda huo
-Sina spirit of sharing,,,yaani sipendi kushea chochote na mtu so hata kama ukiwa na shida usitegemee ukiniomba hela ntakupa labda mama yangu tu na baadhi ya watu wangu wa karibu yaani nina tabia ya uchoyo kwa watu wasionihusu ila ndugu zangu na watu wangu wa karibu hakuna shida
-I only decide once yaaani huwa nafanya maamuzi mara moja tu na sijali kama yana madhara au hayana,,mfano nikisema kuanzia leo sikutaki basi sikutaki kweli na nikisema kuanzia leo sitakwenda sehemu fulani basi ndo ishapita hiyo,sina maamuzi ya kubadilika badilika yaani msimamo wangu huwa ni mmoja tu hata unishauri vipi siwezi kubadilisha maamuzi
-Nina huruma hata kwa watu ambao siwajui kwa mfano hata kama watu wanapiga mwizi mimi siwezi kumpiga na ntaanza kumtetea mumsamehe
Zingine nimezisahau
Sasa hapo sijui zipi ni tabia za wanyiramba na zipi ni za wamasai maana mimi nimemix makabila
 
Mule mule. Ya hasira ndo ya kimasai.
 
Wanapenda kumtengeneza mwanaume kwa sangoma
 
Aisee wewe Umasaini haujakuchukuwa chochote kabisa wewe Singida type... Njoo Inbox nikwambie ulichosahau kusema hahahah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom