sifa za wanawake wa Kinyiramba

Status
Not open for further replies.
Duuuuu,kule kwetu unatakiwa usiwe na wivu kabsaa,yaan hainaga ushemeji,si tunakulanaga tu.

Cha msingi,fatilia tabia ya familia yao,ukiona familia haina msimamo ktk masuala ya mahusiano bas ujue hata binti nae atakuwa hajatulia

Akili zetu wanyiramba bwana,tunawezanaga sisi mwenyewe tu
Daaah mbona inaitaji moyo kama ndo hivo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.

Nakuomba Maoni yatakayotolea uyaache humu humu na usiyaweke kwenye maamuzi yako maake inawezekana hata leo akikupigia simu hutapokea tena..

Mimi simo..

Nakushauri usipende kumchunguza Mtu kama unahitaji kusonga mbele just songa mbele hizi mambo mengine mnayotafuta yatawakatisha taama mapema na siyo mazuri kabisa.

Vinginevyo Acha kutafuta wewe muombe Shangazi yako au Mama Yako akuchagulie na kukutafutia Mchumba
 
Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla na ukumbuke pia kwamba akili za kupewa uchanganye na zako.
 
Usisahu Kuwa Wanashindana na Wanyaturu kwenye hiyo Tabia ya Kushikilia Kufuli bila Ufungo
 
Mkuu wanyiramba nimeishi nao wengi na nawajua vzr ila nikikuelezea tabia zao utakata tamaa za kuoa bure

Cha msingi muangalie unayetaka kumuoa je ana vigezo unavyotaka wewe?, kama ndio chukua. Sometimes kabila linaweza kuwa na tabia nyingi sio nzuri ila tabia inaweza kutokana na malezi na mazingira aliyokulia muhusika bila kuhusisha za kabila lake. Kwa hiyo maamuzi unayo wewe
 
Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye aliyetuumba.Mwenzenu nimeangushia moyo wangu kwa kabinti kamoja cha huko mkoani singida,kutoka kabila la wanyiramba. Sasa kabla sijachukua maamuzi yakwenda kujitambulisha kwao ningependa kujua tabia zao za asili,ili mbeleni niseje anza mwaga machozi mwanaume mimi.
Tuma picha yake tena mkiwa pamoja.ili tuamini kama kweli we muoaji.halafu ntakupa ushauri.bila picha zenu na ushauri hakuna.
 
Deal na demu wako sio na kabila la demu wako wewe mlugaluga!
Au hujui siku hizi watu wengine hata makabila yao hawajui?sidhani kama wanyiramba ni watu ovyo la msingi deal na personality ya mtu sio asili ya mtu ,wengine tumeoa familia za vigagu na maisha mswano tu!
Mh sasa nioe tu hata kama sijui we! Sio nioe halafu nikitoka mwanaume mwenzangu snakuja kukagua mzingo je kesho mtoto akizaliwa usishangae masikio kama ya baba masumbuko jirani yako .aaghh we.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom