Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake. 💪

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.

14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
sijui kama kuna mwanaume mweupe,labda theluji, karatasi na maziwa
 
Kila mtu atatetea rangi yake au ya yule alienae ,but zingine zitabaki kua ni tabia tu kulingana na jamii inayomzunguka na malezi pia.
 
Daah me ni white na sifa zote hapo ninazo kasoro gambe ndio naziogaa kabisaa sio tu kunywa😇
 
naona wanawake wanajiongelesha tu hapa usikute huyo kapeace huko anavyolishobokea dushe jeupe hatari yani analipa huduma zote muhimu

Wanawake wako na unafiki, Ukienda Page za watu maarufu Weupe wamejaa wakitoa kila aina ya sifa kwa hao majamaa. Ka peace ni mmoja wapo.
 
Wanaume weupe hatakiwi kabisa kubishana na mablack, wakileta ubishi wao unatakiwa uwaache washinde,
Weupe wanapendwa wanashobokewa nafikiri nibusara kuwaacha hawa jamaa wawe wanashinda kwenye mabishano inawafariji sna
 
Wanazibuliwa hawazibui tofautisha hapo cheupe
Wanaume weupe ni hatari sana kwa kukata marinda na kuzibua mitaro. Sasa wewe inaonekanwa either walishakuzibua au unawashwawashwa na Kijambio.
 
Hata denda langu tu hamlijui achilia mbali chiu wangu

Hii dawa inywe tu hata kama ni chungu cheupe dawa
Ipo namna ndio mana unawachukia, ulishaliwa uroda bure nini? mana ndio zao izo kula mizigo kwa hadaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom