Wana mambo ya kingese kweli wako nyolo nyolo tuuu
Acha Dharau izo
Wana mambo ya kingese kweli wako nyolo nyolo tuuu
Acha Dharau izo
Wengi wao ni mapunga seseHapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.
Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.
1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.
2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake.
3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.
4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.
5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.
6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.
7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks
8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima
9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima
10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.
11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.
12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.
13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.
14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
Siyo masai nazungumzia mang'ati, tena asilimia kubwa ya mang'ati ni weupe, weusi ni wachache sana.NITUMIE JAPO PICHA MOJA YA MANG'ATI naamini unamaaanisha barbaig AU MASAI MWEUPE MM SINA HATA MOJA
Haijawahi tokea nikavutiwa na mwanaume mweupe mkuuIla unaweza kukutana na man mweupe kama mimi nikakuvutia bila shida
Wengi wao ni mashoga ma vikwapa vyao huwa vinanukaaaa baraa, yaani kama unabisha nusa kikwapa cha jirani yako hapo13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.
ITAENDELEA.........
😂😂😂😂😂😂...kweli aisee.hawatazamiki kbs
Manengelo huwezi pata mwanaume white,,,wee ni mbaya kuliko usiku baht nzr nakufahamu sana tu,kwa kweli wee ni mbaya
Manengelo huwezi pata mwanaume white,,,wee ni mbaya kuliko usiku baht nzr nakufahamu sana tu,kwa kweli wee ni mbaya
Ntakusaidia usijali,,,,ntakufata home kwako au umehama pale cku hz??? Dada mbaya tzNimekubali kbs..ss ww ukisikia mtu anahitaj wabaya km mie nisaidie..sijakataa kbs mzee baba😊
Nimechezea uchi wa chui wamefura haooo ila msema kweli ni mpenzi wa Mungu
imehamia chumba cha 2...nipo pale.pale shoganguNtakusaidia usijali,,,,ntakufata home kwako au umehama pale cku hz??? Dada mbaya tz
wewe hao ni waiqwSiyo masai nazungumzia mang'ati, tena asilimia kubwa ya mang'ati ni weupe, weusi ni wachache sana.
Halafu walevi sana wanapendelea kunywa pombe kali kama Konyagi na Gongo.
Yaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kitu
Mwanaune mweupe namuona she mwenzangu tu,,
Ila nakupenda indeed kama vipi chepuka bxiiii nkunyooshe😅😅😅..hii chitchat wananuna nn ss...mie nimeponda ndio ila ajabu nimeolewq na huyo mweupe...heheheh....
Yaan unajiulza hv hyu alikuwa haoni ama???na ukiangalia muolewaj so kwamba ana kitu cha ziada kilichomvutia mwanaume hyo ndo nabak kusema kwamba beautiful is within the eyes of the beholder...kweli aisee.hawatazamiki kbs
OfakileIla nakupenda indeed kama vipi chepuka bxiiii nkunyooshe