Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

Hao wanaoshindwa kuvunja hata biskuti?.....nachojua wanaume wote wana asili ya kupambana, lakini nikiangazia hawa wenzetu weupe naona kwa mbali sana. Kwanza huhofia rangi yao, pili hujiona classic, hawa huwezi kuwakuta kwenye kazi za 'shurba' labda kazi zihusuzo table negotiation. Kifupi ni watu soft, sana. Bora mie na uniga wangu nazama kila site, kusaka njuruku. Hahahahaha.
Brother tukianza simuliana misoto ya maisha na kazi ngumu..Hukuti misoto yangu hata kwa asilimia 1 wala kazi zangu huwezi zifanya... sema nini acha tu refresh kidogo si unajua tena ha ha ha
 
SURA KAMA hizi kidume kikienda Kazini huku nyuma Wife anawaza sijui mme wangu wataniibia...Mume akirudi Msg ikiingia kwenye simu ya mme wake Ni was was full Time anahisi mchepuko kamtext mume wake.

Sura kama hizi unaanzaje Tongoza dem kama Aunt ezekiel?
Kama hujui wanaume mahandsome ndo wanaoaga wanawake wabaya sijui Kwa nini.

Nitajitahidi nikwepe Hilo aisee
 
kwasababu wanawake wabaya wanawapenda sana maHB, wanataka kuzaa watoto wazuri. wanawake wana malengo sana.
Kama hujui wanaume mahandsome ndo wanaoaga wanawake wabaya sijui Kwa nini.

Nitajitahidi nikwepe Hilo aisee
 
Mimi ni mweupe na najiweza kiasi flani ila situmii hela kwa ajili ya madem na wala siweki wazi uwezo wangu kiuchumi, ila kweli mkuu mi ni handsome. Na usisahau sipendi ugomvi ila nauweza
 
Kama hujui wanaume mahandsome ndo wanaoaga wanawake wabaya sijui Kwa nini.

Nitajitahidi nikwepe Hilo aisee
MI nimeshajikwaaa hapo,halafu ndio sina mpango wa kubanduka leo wala kesho Ninavyompenda Wife sina maelezo na sura yake ile ile yani Full AMANI.
 
SURA KAMA hizi kidume kikienda Kazini huku nyuma Wife anawaza sijui mme wangu wataniibia...Mume akirudi Msg ikiingia kwenye simu ya mme wake Ni was was full Time anahisi mchepuko kamtext mume wake.

Sura kama hizi unaanzaje Tongoza dem kama Aunt ezekiel? 🤣 🤣 🤣
Lazma mke awe na ka presha kakuibiwa muda wote
 
Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake. 💪

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.

14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
Mwanaume kabisa cheupe? Duh wewe jamaa wewe hiyo ni rangi ya kike , ndo maana wana tabia ulizozitaja
 
Yaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kitu

Mwanaune mweupe namuona she mwenzangu tu,,
Hivi unasemaje? Kwa hiyo wanaume blacks kabla hujamaliza kudengua kichwa kimeshachungulia geiti la ikulu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom